Tatizo la mahusiano ni ngumu kusaidiawa mawazo...ila jua kukosea hakujaumbiwa fulan hata ww unaweza ukakosea tena kosa kubwa kuliko lako na mwenzako akakusamehe so muombe Mungu akusaidie kusahau maana ww km ww hutaweza
Dadaangu maisha hayana formula we Muombe Mungu akutie nguvu azae mtoto wako umlee iko siku isikuwa na jina anakutafuta tu muamini Mungu hakuna kinachoshindikana kwake
Alikuwa ni mtumishi yy pamoja na bf wake ️tena ofisi moja, tofauti ni kwamba mwanaume hakutanbulishwa kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa wanaishi mbali ila kinachochosha akili ni maneno ya mama mkwe kwa marehemu ya kukatisha tamaa na kutokuwa na uchungu wala hofu ta kuwa na mtoto wa watu alhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.