Ushauri: Niko kwenye kipindi kigumu sana

Ushauri: Niko kwenye kipindi kigumu sana

Et unawaza utajibu nin siku ukifa kwaio dhambi ya kuzini hukuiona unakuja kuona ya kutoa mimba tu
 
Nakasirishwa sana na watu wanaomkatisha tamaa mama mjamzito, labda kwakuwa hawajui madhara yake sijui…?, au viburi vyao na jeuri tu!,
 
Naomba hiyo mimba usiitoe kabisa kwani huo sio mwisho wa maisha na mtoto ni faraja kuliko unavyohisi wewe. Achana naye anza maisha na jipange upya jinsi unakavyomlea mtoto wako bila yeye.
 
Pole mwaya, maisha ya mwanadamu yameelemewa na majuto kwa vile kila akifanyacho hakina mwisho mwema. Na nikutokana na kuishi kwa akili yake tuu wakati upo mwongozo sahihi wa sheria za Mungu.
Nisongependa kukulaumu pale ulipokua anamkoaea Mungu na huku mkiombeana mwema. "Maombi ya mwenye dhambi ni chukizo Kwa Mungu. Lakini Neema ni kubwa mtafute sana Mungu na huko kumtafuta Mungu utapata mwongozo wa wa kuikabili hio hal.
 
Dadaangu maisha hayana formula we Muombe Mungu akutie nguvu azae mtoto wako umlee iko siku isikuwa na jina anakutafuta tu muamini Mungu hakuna kinachoshindikana kwake
 
Nilijua tu. Hizi nyuzi zinazotumwa za kutooa wanawake wasomi lazima zilete madhara makubwa sana kwenye jamii.

Naona baadhi ya wanaume wanaanza kutumia ushauri wa wanajf,kuwa usioe mwanamke aliesoma,akili za kushikiwa hizi hatari sana
 
unawaza kutoa mimba kwa Mungu utasema nini??duuuu sasa kwanini hukuwaza utasema nini kwa Mungu siku uliyo. panua mapaja? ungekuwa umewaza hili nadhani wala leo usinge omba ushauri huu, pole sana wewe wacha mimba ikue zaa mtoto wako, endelea na maisha yako walau una ka certificate hako utapata kazi, ukikosa nitafute
 
Back
Top Bottom