nakumbuka pale udom kuna demu alikuwa mke wa mtu na yeye alijua kuwa namfahamu ila alivyokuwa analiwa aisee niliona huruma sana kwa mchizi wake..!!!
chuoni changamoto bhana.. ilifika hatua hadi mimi nikalamba.. sasa nifanyaje!
kweli mkuu mambo mengine ni kufumba macho tu.Daaah umeonaa eeeh tunaomba picha la shepu banaaaSimulizi kama hii bila mapicha hata haivutii aisee!
nakumbuka pale udom kuna demu alikuwa mke wa mtu na yeye alijua kuwa namfahamu ila alivyokuwa analiwa aisee niliona huruma sana kwa mchizi wake..!!!
chuoni changamoto bhana.. ilifika hatua hadi mimi nikalamba.. sasa nifanyaje!
Mungu anakuonaUmemshauri vizuri sana jembeNYIE NI WAJINGA MNAOTUZALILISHA WANAUME WENZENU UPO NA MWANAMKE NA AMEKILI KUWA ANA DUME ILI KAKUAMBIA SASA HIVI ANAKUPENDA WEWE NAWE UKAVIMBA BICHWA HAPO WEWE NI WAKUCHUNWA TU ALAFU SELE ANATUMIA HELA ZAKO WEWE KUNYWA MAJI TULIZA NAFSI UTAPATA DEMU MWINGINE AU KAMA UNATAKA KUOA UTAPATA KWANI SHEPU AKE INA MAAJABU GANI KUZIDI WANAWAKE WENGINE MIMI SITAKI NIPATE TAARIFA YA KIFO CHAKO KUWA UMEJIUA KUWA JASIRI KIJANA WANGU
Kama hujawah shikwa kweny mapenz unaweza usimuelewa mshkaji
Usikute ulipewa mtandao pendwa.Picha ipo juu hapo...