BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Kulikuwa na tishio la kigaidi dhidi yao!Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Kulikuwa na tishio la kigaidi dhidi yao!Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
We unajuajebkam yakawaida au shoboWanaiga nchi za wenzetu,wakati wenzetu wanavaa zikiwa na kifaa maalum chenye kazi special
Tz ni nchi inayongoza kwa vta vya chinkwachin na hao wala cyo pilisi hao ni jesh wamepewa gwanda za polis ndg walevwotebunawaona ktk msafara wa magufur ni wana jesh tia pua uhumieHii yote kisa bavicha? Yaani bavicha tu? Looh! Yakija masalia ya Osama je itakuwaje? Au wale wa kisasa Islamic State? Si ndo itatubidi kutumia mitondoo?
Field Force unitTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Yap napenda watu wenye uelewa kama ww that's goodWanaiga nchi za wenzetu,wakati wenzetu wanavaa zikiwa na kifaa maalum chenye kazi special
Mkuu tutarekebishaHivi Kwanini Kofia Zao Zimeandikwa POLICE... Au wamekodiwa Kutoka Uingereza
Fuatilia majibu yangu utaelewa. Naona bado una kamba mguuniWe unajuajebkam yakawaida au shobo
Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Dada yangu Mheshimiwa Mdee, hivi hujui kwamba CCM ni Chama Dola? Hata ninyi mkiingia IKULU itakuwa hivyo hivyo!!Kulikuwa na tishio la kigaidi dhidi yao!
Kazi ni kazi na mapenzi ni mapenziila twende mbele turudi nyuma ukipata baby kama huyu hivi inakuwaje? kama wakali sana eeh?
Yes...sababu jicho la binadamu limeumbwa na aibu na huruma! Mkitazamana na macho makavu mwisho wa siku mnaweza kuoneana aibu!hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
Yes...sababu jicho la binadamu limeumbwa na aibu na huruma! Mkitazamana na macho makavu mwisho wa siku mnaweza kuoneana aibu!
Ndio maana kuna msemo unasema ukitaka kumuuua nyani usimtizame usoni!