sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Ni dhahiri kwamba asiyeshukuru kwa kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.
Punguzo la kodi kwa watumishi wa umma kwa 2% ambapo hasara itakayopatikana kwa mwezi kwa punguzo hilo yaweza kufikia bilion 10 na bado watumishi hao umewaahidi kuboresha mishahara yao.
Sasa kumekuwa na mijadala hasi juu ya punguzo hilo na mijadala hiyo inaongozwa na watu ambao siyo watumishi wa Umma. Kwakuwa punguzo hilo limezua mjadala hasi, futilia mbali wasubiri mei mosi ijayo.