Yan mm ndo nna hasira na hao continento natamani ata niitishe mkutano wa hadhara niwatangaze kuwa nimatapeli, nimekinunua toka mwez wa nane mwanzoni ila ukihesabu siku nlizofanikiwa kuangalia tv hazifiki hata idadi ya siku 3o tu siku moja nlijikuta nataka kuvunja redio kwa hasira coz kilikuwa...
inatakiwa Afungwe kabisa maisha, kuwaonea haya watu kama hawa ndo kumetufikisha hapa tulipo. lazma tuitunze amani ya nchi yetu coz ikitoweka hakuna atakaye salimika
:angry:
Naunga mkono hoja Hakika Lema anapaswa kuwa mwangalifu kiongozi hapaswi kutamka hisia zake hadharani coz kila anachoongea kinaweka historia mfano isue ya jana asipoangalia anaumbuka kweupe coz majibu yachunguzi yanawalakini .anyway ila naionea sana huruma Chadema yangu 2015 wa mbadili huyu mtu...
kama mambo yenyewe ndo kama haya na mm natangaza rasmi kuanzia leo ntakuwa nnahuzuria mikutano ya ccm kitu burudan ya bure kabisa wakati mtaani tunalipia. Naombeni Muongozo wakupata t.shirt tafadhali ntakuwa nahifadhi kwenyepochi nkitoka navulia mbali
achen kukurupuka basi!!!!!!!!!! hv mmesahau zito alifunguliwa kesi akituhumima kumpiga mtu wakati wa kampen ila hiyo kesi ilitupiliwa mbali baada ya kuonekana haina ukweli wowote??????????
huu sasa ni umbea, kama mtu hataki kutajwa coz hataki usumbufu kwenye biashara zake ww wamtajia nn? lazma utambue sikila anae kiunga mkono chadema ni mwanasiasa kunawatu wanakipenda nakutamani chadema ichukue dola ila si wanasiasa nahawapendi kujitokeza ili wasisumbuliwe na magamba hivyo kuwa...
mbona magufuli alipokwenda kufungua kituo kipya cha mbezi alining'inia kwenye daladala kama konda hukusema? au kwavile huyu wa chadema?????????? tena yeye ndoingekuwa mbaya zaidi coz umri umeenda bora huyu kijana acha zako bana zakuchanganya siasa na maadili
umeonaeeh!!!!! yan wamenishangaza sn ingekuwa ni ccm ingekuwa habari kuu, afu hata picha walizoonyesha wamepiga sehem ambazo hazina watu wengi afu kibaya zaidi wakachukua maneno ya katikati ya mazungumzo ya nassari hayana hata conection ili asieleweke unajua mm sjaelewa hata alikuwa anaongea...
Mmmmmmmmm, niwazo zuri sana na nnawapongeza sana chadema ila wasiwasi wangu ni je wataweza kukiendesha kweli chma bila ruzuku kweli?????????!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.