Matatizo ya king'amuzi cha continental

Niambieni

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
625
170
King'amuzi cha Continental kina matatizo ya muda mrefu sana ya kuzima zima pia kina chenga na mitetemo sana. Tumejaribu kuwasiliana na wahusika bila mafanikio.

Lakini bado kinatangazwa kana kwamba kinaubora. Sijui ni kweli kuwa vya bure vinagharama?. Wale watu wa viwango mpo wapi kwa product hii ya kichina?
 
Yan mm ndo nna hasira na hao continento natamani ata niitishe mkutano wa hadhara niwatangaze kuwa nimatapeli, nimekinunua toka mwez wa nane mwanzoni ila ukihesabu siku nlizofanikiwa kuangalia tv hazifiki hata idadi ya siku 3o tu siku moja nlijikuta nataka kuvunja redio kwa hasira coz kilikuwa kimekata ni wk yapili nasikia tangazo Continental king'amuzi boraaaaaaaaa huu ni upuuzi na utapeli ulopita kiwango, kinachoniuma zaidi mm ndo nimeanza maisha nna mambo mengi ya kufanya ila hapa inabidi niweke hela yakununua king'amuzi kingine inaniuma sn kwakweli kwann serikali inaruhusu matapeli hadharani hapa nina kaama siku 10 sion kitu sasa sijui ndo wameshakata tena?????????
kwanza hata hiyo bure wanayosema niuongo mtupu coz king'amuz kinasehemu ya kuweka card so kikitengamaa watacharge tu

Nataka wahusika watambue wamenikera sn napopote nilipo ntawatahadharisha wenzangu wasikubali kutapeliwa kama mm :der:
 
ushauri wangu. ukitaka kununua king'amuz kingine, nunua azam tv.
utaelewa unapoambiwa ulimwengu wa digital huwa wanamaanisha nini!.
hakuna cha *timez wala digitek, wote kwa azam tv n mavi matupu.
niamini mtu wangu
 
Toka nimenunua Easy Tv sijawahi pata shida kiukweli wanajitahidi'
 
yan mm ndo nna hasira na hao continento natamani ata niitishe mkutano wa hadhara niwatangaze kuwa nimatapeli, nimekinunua toka mwez wa nane mwanzoni ila ukihesabu siku nlizofanikiwa kuangalia tv hazifiki hata idadi ya siku 3o tu siku moja nlijikuta nataka kuvunja redio kwa hasira coz kilikuwa kimekata ni wk yapili nasikia tangazo continental king'amuzi boraaaaaaaaa huu ni upuuzi na utapeli ulopita kiwango, kinachoniuma zaidi mm ndo nimeanza maisha nna mambo mengi ya kufanya ila hapa inabidi niweke hela yakununua king'amuzi kingine inaniuma sn kwakweli kwann serikali inaruhusu matapeli hadharani hapa nina kaama siku 10 sion kitu sasa sijui ndo wameshakata tena?????????
Kwanza hata hiyo bure wanayosema niuongo mtupu coz king'amuz kinasehemu ya kuweka card so kikitengamaa watacharge tu

nataka wahusika watambue wamenikera sn napopote nilipo ntawatahadharisha wenzangu wasikubali kutapeliwa kama mm :der:
Jamani hiyo kampuni ni mahututi. Msikubali kutapeliwa. Nadhani karibu sana watafunga business kabisa. Nenda haraka duka la Startimes lililokaribu nawe ununue kig'amuzi bora kuliko chochote hapa nchini. Mimi tangu nianze kutumia kingamuzi cha Startimes naona raha tupu. Huko nyuma nilianza na Continental nilikoma kabisa. Hovyo kabisa.jamani watanzania wenzangu amka amka amka.
 
Easy TV inaishia DSM usiwadanganye watu wewe!!!!!!!!! Wala haina ubora wowowte ukilinganisha na Startimes. Easy TV haipo mikoani na wala leseni yao haitaruhusiwa kwenda mikoani kamwe. Hata hiyo leseni walipewa kiajabu.
 
mkuu vp mbona povu...!? Una bifu na mmiliki nn mkuu...
 
Binafsi, nlitumia star times, haikuwa na shida kabisa, nlikuwa nafurahi kweli.
Nashukuru kwa kunistua kuhusu continental maana walianza kunivutia na matangazo yao.
Vp kuhusu Digitek?
 
dstv ndo mkataba haina izo longolongo zotee.pakeji ya bei ya chini inaanzia 16500 unaona tbc.chn10.startv.citizen.kbc na chanel nyingine nyingi.
 
Yan mm ndo nna hasira na hao continento natamani ata niitishe mkutano wa hadhara niwatangaze kuwa nimatapeli, nimekinunua toka mwez wa nane mwanzoni ila ukihesabu siku nlizofanikiwa kuangalia tv hazifiki hata idadi ya siku 3o tu siku moja nlijikuta nataka kuvunja redio kwa hasira coz kilikuwa kimekata ni wk yapili nasikia tangazo Continental king'amuzi boraaaaaaaaa huu ni upuuzi na utapeli ulopita kiwango, kinachoniuma zaidi mm ndo nimeanza maisha nna mambo mengi ya kufanya ila hapa inabidi niweke hela yakununua king'amuzi kingine inaniuma sn kwakweli kwann serikali inaruhusu matapeli hadharani hapa nina kaama siku 10 sion kitu sasa sijui ndo wameshakata tena?????????
kwanza hata hiyo bure wanayosema niuongo mtupu coz king'amuz kinasehemu ya kuweka card so kikitengamaa watacharge tu

Nataka wahusika watambue wamenikera sn napopote nilipo ntawatahadharisha wenzangu wasikubali kutapeliwa kama mm :der:
hahaaa the quality to talk about
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom