Unajua TBC pana siri kubwa sana,Kiapo chao cha kazi cha siri ni kwanza kutetea maslahi ya CCM na mengine yafuate.Alikuja Tido Muhando na kuleta Usawa wa Kidemokrasia kwenye Habari akatimuliwa.WALIO BAKI JAMANI,WANATETEA UGALI WAO.Kama hamjui kabla habari kutolea Mhariri lazima aipitie na ahakikishe kama haitawakera Magamba na kama inaulazimu sana kutolewa,wanaipiga scrach za kutosha na Baadae inagoma kutoka live na wanawaomba radhi...
Fuatilia kwa Makini utagundua fake trick nyingi zinazochezwa na TBC,tunayajua sema tunamezea na tunajua Hakuna lenye mwanzo lokakosa mwisho...Subirini hatma yenu,hata kama itachelewa lakini ipi siku tu...