Mbowe: CHADEMA hatutaki Ruzuku kwani ni utumwa kwa vyama vya siasa nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe: CHADEMA hatutaki Ruzuku kwani ni utumwa kwa vyama vya siasa nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Mar 10, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Habari wa JF! Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mhe. Kamanda Freeman Mbowe ameweka bayana msimamo mpya wa chama chake Chadema kwamba hawatatumia ruzuku ya serkali ktk kuendesha na kujenga chama kuanzia na uchaguzi wa arumeru, Mbowe amesema kwamba ruzuku ni utumwa wa vyama vya siasa nchini kwahiyo amesema kwa kuwa CDM ni chama cha watu basi kitajengwa na watu kwa kuchangiwa michango na watu pasipo kutegemea ruzuku ya serikali" source star tv na watu wote walokuwepo arumeru leo na mimi mwenyewe"
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mi mwenyewe nimeisikia live kupitia Arusha Mambo FM (thanks kwa jamaa aliyeweka link jamvini). I think this is the good move. Hii ya ruzuku iliwekwa kuisaidia CCM. Bila ruzuku CCM itakufa kifo kibaya kwa sababu wote waliopo CCM ni kwa sababu ya pesa
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli na CDM ikaacha kikweli kuchukua ruzuku basi nitaona ya kwamba wako kiukombozi zaidi. Nitafurahi mimi na familia yangu! Ila isije ikawa ni maneno matupu kama yale y posho.
  Hapa fanyeni kweli acheni maneno matupu, fanyeni kwa vitendo. Nina furaha kusikia hilo japo kwa kutamkwa na kiongozi wa chama kwa kuwa itakuwa ni kuuliza tu kama ametekeleza kauli yake.
   
 4. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  wengine tumeshachangia tayari.changia CHADEMA ARUSHA ,m pesa 0757755333. Peeeeeeeeeeplesssssssssssssss
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kweli chama cha watu kama chadema lazima kitajengwa na watu.
   
 6. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Miaka 35 CCM tegenezi kwa ruzuku.. CDM big up naunga mkono 100% together tunawakilisha..
  Wapi Rejao,Ritz?
   
 7. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,711
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  hehee peepless au ulitaka kusema pepsss
   
 8. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwa sasa ruzuku zipo kisheria chadema hawawezi kuzikataa na Mbowe hajasema eti ni msimamo wa chama ila amesema ruzuku sio nzuri.
   
 9. a

  a man of the hill Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ndo muelekeo wa kuchukua NCHI,..CHAMA kinachoaminiwa na kupendwa na watu kitajengwa na watu.CHADEMA ndo TUMAINI PEKEE la kuikomboa NCHI yetu.Hiyo ndo People's Power!!!
   
 10. A

  Amina Juma Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmmmm, niwazo zuri sana na nnawapongeza sana chadema ila wasiwasi wangu ni je wataweza kukiendesha kweli chma bila ruzuku kweli?????????!!!!!!!!!!!!
   
 11. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,220
  Likes Received: 1,151
  Trophy Points: 280
  Kama hii kitu ni kweli utakuwa mwanzo mzuri wa kujenga Chama imara na yenye nguvu ya wanachama.Michango ya wanachama ndiyo uwe msingi na mtaji wa kuendeshea chama na kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji.Jambo hili ni muhimu kuanza kutekelezwa kwenye matawi ya chini(Kata) iliiwerahisi kwa utekelezaji.
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawataacha kuchukua ruzuku ila hawataki kutegemea ruzuku kwa asilimia 100%. Wanataka kupunguza utegemezi kwa kufanya na programme nyingine za maendeleo kwa kushirikisha wananchi.
   
 13. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thanks Mh. Mbowe
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  automatically Tendwa atakua hana kazi tena ya kujifanya auditor wa vyama!
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Atabakia kudhibiti pesa chafu zinatopitia kwenye vyama kwa jina la michango
   
 16. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hapo safi sana mnajitofautisha na CCM ambao wanaombaomba hadi kwa David Cameron na kupewa masharti magumu kinyume na maumbile yetu. Good start mkichukua nchi mtaifanya ijitegemee fasta kwa kutumia rasilimali zetu
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahaha baada ya kuchukua sana sasa wameona wanaweza kwenda wenyewe? Hongera serikali kwa kutuletea vyama vingi na utaratibu wa ruzuku. Lakini its high time tuachane na ruzuku kwa vyama kwakuwa mimi mwananchi wa kawaida nisiye na chama sitendewi haki!
   
 18. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huna lolote....kama mtanzania inatakiwa ungekuwa on a right place na wewe najua ni wa mag.am.ba tu.
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dovutwa ataishije?
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,873
  Trophy Points: 280

  mbowe huyo....naona taratibu unakuja kwenye line!!!! safi sana!!
   
Loading...