Ninawaza kugombea jimbo HAI 2015

kwanza kabisa ni kutumia aridhi yetu ndogo vizuri,hasa milima na kwa hakika mlima kilimanjaro kwa aridhi yetu ni ndogo sana,tazama tuna. 1. Hekta 46,506 (46%) zinafaa kwa kilimo 2 Hekta 14,154 (14%) ni eneo la misitu 3. Hekta 13,143 (13%) ni eneo la miamba na 4.Hekta 27,297 (27%) ni eneo lifaalo kwa malisho ya mifugo. utagundua hatuna aridhi ukilinganisha na mikoa mingine.
kwahiyo? Unataka kutudanganya kuwa ukipata ubunge utageuza mbingu iwe ardhi?
 
Wadau sijasubiri niseme wazee wameniomba,ila ni nafsi yangu sasa imejiridhisha kuwa wakati umefika nami sasa nirudishe nguvu walizotumia watu wa nshara,uduru,lyamungo,masama,narumu,mronga,lambo,kisereni,mkweseko,uswoa,mkwarungo nk. kwa kunielimisha vya kutosha.ni zamu yangu sasa kuwaongoza kuijenga nchi yetu na kudai haki zetu kwa pamoja.

si kwamba Mhe Freeman ameshindwa kazi la hasha.ni kumpa nafasi aweze kufanya kazi zake ndani ya chama katika ngazi ya taifa.

wakati ukifika nitawakumbusha hapa jamvini,kwa kuja na utambulisho rasmi na sababu za mimi kuamua hilo.

najua mtapenda kujua ni chama gani? ni nani? ila muda ukifika yote mtajua.

Mowe kashindwa siku ya kwanza tuu alipoapishwa kuwa mbunge watu hawajui tuu alikuwa anataka title kaipata hata akikosa nyumba alizonunua ndani na nje ya nchi ni mtaji tosha kwake ukijumlisha na ruzuku ya chama cha baba mkwe duuuuu! Maisha ya raha bila karaha shida ni kwa wale wasiojua undani wa mbowe na chadema yakeeee.
 
yani ashindwe kuwaletea maendeleo watu waliomchagua halafu watu haohao wasiligundue hilo!?
 
endelea na harakati kaka...lakini usitumie kigezo kuwa mbowe ana majukumu mengi.....2meona wabunge wengi wenye majukumu ya kitaifa lakini bado wanaleta maendeleo majimboni mwao....kila la kheri kiombokaone
 
Embu tupe sera mkuu tukuambie kama utapata au hupati,embu tupe sababu za msingi kwa nn tukuchague,
 
Wadau sijasubiri niseme wazee wameniomba,ila ni nafsi yangu sasa imejiridhisha kuwa wakati umefika nami sasa nirudishe nguvu walizotumia watu wa nshara,uduru,lyamungo,masama,narumu,mronga,lambo,kisereni,mkweseko,uswoa,mkwarungo nk. kwa kunielimisha vya kutosha.ni zamu yangu sasa kuwaongoza kuijenga nchi yetu na kudai haki zetu kwa pamoja.

si kwamba Mhe Freeman ameshindwa kazi la hasha.ni kumpa nafasi aweze kufanya kazi zake ndani ya chama katika ngazi ya taifa.

wakati ukifika nitawakumbusha hapa jamvini,kwa kuja na utambulisho rasmi na sababu za mimi kuamua hilo.

najua mtapenda kujua ni chama gani? ni nani? ila muda ukifika yote mtajua.

si mbaya ww jaribu tu hata kama hutapata hata kura moja utakuwa umepandisha cv yako
 
Hiyo moja ni kubwa sana kwangu wala ishu siyo Cv.najua watanzania wanapenda sana kuwa mitaji ya mabepari,kwa kuwajengea uwezo wa kiuchumi na kinga ya kisiasa,ndiyo maana watu wanaamini mbowe hawezi kutole pale.mi nitatumia muda huo kuwaelimisha wanahai wajue ukweli
 
endelea na harakati kaka...lakini usitumie kigezo kuwa mbowe ana majukumu mengi.....2meona wabunge wengi wenye majukumu ya kitaifa lakini bado wanaleta maendeleo majimboni mwao....kila la kheri kiombokaone
Yapo mengi sana yanayonisukuma ya msingi,pia mi siamini ili ukubalike lazima umponde aliyepo, kwani mbowe ana mazuri yake pia kwa wanahai na nilazima ni heshimu busara zao
 
Back
Top Bottom