Recent content by AMBUJE

  1. A

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa JamiiForums

    Best wishez mkuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Real deal

    mia mia mzazi komaa nao, all ze best
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ajira burka estate

    km huna cha kujib bora uwe kmya coz kuna watu wana shda na kaz.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msichana bella natafuta kazi

    Best wishez
  5. A

    JamiiForums Tanzania kupata kazi ni kazi

    real kk
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nani bingwaaa!

    Bingwa ni simba sc
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jobs for you today

    one love
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

    Kweli jamaa ana uchungu na taifa letu, asiogope kile wanachofanywa wanaharakati mbalimbali duniani kote kama wakina Che Guevara, Malcolm X, Mohandas Magandhi, Mzee mandela na wengine kibao, Tuko nyuma yake mwanaharakati huyu kuhakikisha taifa letu linafika tunapotaka. MUNGU IBARIKI TANZANIA...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sumatra yaipiga ban Champion Bus

    Wandugu maamuzi yanayofanywa na wenye mamlaka katika nchi hii yanasikitisha, kama mtakumbuka miaka kadhaa iliyopita baada ya kufululiza kwa ajali wakasema kila basi lazima kuwe na mlango wa dharura nyuma sasa sijui ilke milango ilyokuwa imewekwa ilifanikiwa kupunguza idadi ya ajali au la!, kama...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Season 2 ya wizara ya nishati na madini....!

    Dah! ama kweli nchi hii sasa imeoza, kwa jitihada zao wabunge waligundua tatizo, wakuu wakapindisha ukweli baada ya wabunge kuja juu wanataka kuliDISSOLVE kwa mtindo wa kuchange kota. Nawaomba wabunge walisimamie kidete suala hili ili huyo JAH HERO ashitakiwe mana kama kidhibiti kipo mbona...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Jamani poleni watanzania wenzangu mliokumbwa na hiyo ajali, tunawaombea kwa mungu majeruhi ili afya zenu zirudi katika hali yenu ya awali ili tusaidiane kulijenga taifa hili, sina wa kumlaumu kwa kuwa sijajua chanzo cha hiyo ajali. PIA NAWAOMBA HAWA WADHIBITI WA HIVI VYOMBO WASIWE WANAZUIA...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sofa bombaaaaaaa!.........

    Kuna tofauti gani bro! Kati ya sofa bomba na mtaalamu wa sofa? Tambua lugha ya matangazo mkuu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Daaaaaaaaaaaaa!.... inasikitisha kwa kweli, kwa hiyo huyu bw. D. JEURI analipwa akiwa ametuhumiwa? na huo mshahara anaolipwa bw. D. JEURI ndo kodi zetu sisi au za watu gani?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sofa bombaaaaaaa!.........

    Ndaga nkamogwangu, Sasa dili lenyewe vipi au ndo salamu pekee? good day.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Sofa bombaaaaaaa!.........

    naweza bosi wangu isipokuwa unatakiwa kunitumia nauli na gharama za accomodation ni kwako bosi.
Back
Top Bottom