Nani bingwaaa!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
Ni ndani ya JF jaza nafasi zilizo wazi;
Bingwa wa kupigwa ban.....
Bingwa wa kushtaki.....
Bingwa wa kuchangia pumba.....
Bingwa wa vichekesho.....
Bingwa wa mikwara......
Bingwa wa kuzodoa......
Bingwa wa kuchangiwa ktk thread.....
Bingwa wa kupotezewa ktk thread.....
Bingwa wa kukera.....
Bingwa wa ku pm ....
Na mabingwa wa mengineyo unayo ya fahamu zaidi ya hayo juu......
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,336
Sijui sana ila wengine watanisaidia:
Ni ndani ya JF jaza nafasi zilizo wazi;
Bingwa wa kupigwa ban..... MS, bila shaka
Bingwa wa kushtaki..... Sijui, mi nashtaki mara moja moja ila sidhani kama ni bingwa, lol
Bingwa wa kuchangia pumba..... Bora nijitaje mwenyewe, sitaki lawama
Bingwa wa vichekesho..... Siku hizi nimecheka sana na Excellent (excellent jokes by the way)
Bingwa wa mikwara...... Simjui
Bingwa wa kuzodoa...... Kudozoa ndio nini?
Bingwa wa kuchangiwa ktk thread..... Well, Afrodenzi akitoa thread anahakikisha anafatilia, so I think ni yeye...
Bingwa wa kupotezewa ktk thread..... Sijui
Bingwa wa kukera..... Kuna mtu anapenda sana kuguna, nimemsahau jina mi ananikera kweli... lol
Bingwa wa ku pm .... Sijui...
Na mabingwa wa mengineyo unayo ya fahamu zaidi ya hayo juu......
Bingwa wa kupost ....
Bingwa wa kutoa ban.... hahahaha
Bingwa wa post za busara.........
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,041
Bingwa..bingwa..bingwa!!
Mi nadhani Mods pekee ndio wenye uwezo wa kufanya hizo analysis.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom