Msichana bella natafuta kazi

Status
Not open for further replies.

BlackBella

Member
Aug 10, 2012
28
10
Naitwa BELLA,ni msichana wa miaka 18,natafuta kazi yoyote ile,ninaweza kuzungumza vizuri lugha ya KIINGELEZA,KIFARANSA NA KIITALIANO,nipo DAR ES SALAAM,elimu yangu ni FORM SIX,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo blackbella94@ovi.com
 
mhhhhh kweli? Nenda hotel za kitalii utapata kazi kirahisi au endelea kusoma
 
Kazi yeyote??? Mhh ebu specify BB! Kama u mrembo apply kazi customer's care and call centre utapata fasta!
 
Tafuta Recruiting agencies,moja ipo jengo la barclays floor nishaisahau ila ukifika ukaiulizia utaambiwa,nenda na cv kama ni mrembo wa ukweeh utapata fasta!
 
Ni kweli brother,hotel zipi kaka mm nimetoka shule.

shule umetoka toka zamani sana kwani six leavers sasa wanasubiria selection za vyuo
au umetoka kupiga mambo ya tourism?
waweza pata kazi kwenye hotel kubwa na touristic places kama uko qualified
 
Kama huna mipango ya kuendelea na shule si uolewe tu ujipumzikie bella! Lakini usiniulize uolewe na nani.
 
Kama huna mipango ya kuendelea na shule si uolewe tu ujipumzikie bella! Lakini usiniulize uolewe na nani.

kwa mentality hii kweli tanzania tutaendelea? yaani mwanamke akimaliza shule next step ni kuolewa tu! Pumbafu mmoja! ama kweli tanzania tambarare! Kwa nini mwanamke amalizapo shule asitafute kazi? Bella usivunjike moyo na wala usisikilize maneno ya watu mbumbumbu, tafuta kazi ili uweze kujitegemea, ukiweza jielimishe zaidi na epukana na vishawishi vya wanaume.
 
Naitwa BELLA,ni msichana wa miaka 18,natafuta kazi yoyote ile,ninaweza kuzungumza vizuri lugha ya KIINGELEZA,KIFARANSA NA KIITALIANO,nipo DAR ES SALAAM,elimu yangu ni FORM SIX,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo blackbella94@ovi.com

Nenda Erolink pale Morocco nyuma ya petrol station na pia nenda Radar Recruitments pale Barclays ghorofa 5..peleka CV yako utapata soon!!kila la kheri
 
kwani bella maneno yako ynauongo mwingi mmno,wewe kwa miaka 18 umemaliza form 6 lini na matokeo ushayaona na hizo lugha ukazisoma? maana kila anaemaliza form 6 anamatarajio ya shahada. otherwise kuna watu hawatafuti kazi la zaidi wanataka kuonekana tu pls acheni utani
 
Sema ww!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom