kupata kazi ni kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kupata kazi ni kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by wima, Aug 7, 2012.

 1. w

  wima Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wanafunzi ambao ndio wanatoka fresh from vyuo imekuwa ngumu kupata kazi kwa kisingizio eti hawana experience! Je, hao walio maofisini walizaliwa na experience? Au nao walipita shule kama sisi? je, experience tutaipata wap kama si wao kutuajiri kwanza then mengine yafuate! naomba waajiri mtazame kwa upya swala hili kwan hakuna aliezaliwa na experience.:flypig:
   
 2. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  ndivyo mfumo kazi ulivyo duniani, experience ni muhimu kwa baadhi ya kazi, kwa mfano fresh graduate hawezi kupewa nafasi chief executive officer ya kampuni fulani bali ni kwa wale wenye uzoefu wa kazi hizo, wewe fresher za kwako zipo kwa levo yako, one day yes
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pole sana kijana lakini uko vizuri au unataka kazi tu?
   
 4. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli unachokisema kwa baadhi ya position!....lkn kwa ss hawa waajiri wamezidisha,unakuta nafas nyingine kwa ajiri ya hao wanaoanza kazi na wanaweka experience,ukiyliza wanasema wanapunguza idadi ya wanaoomba automaticaly!kweli tutafika?
   
 5. M

  MjiniShule Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .
  Wima, pole sana mkuu. Nimekua nikisikia malalamiko kama yako kwa vijana wengi tu. Ninavyofahamu ni kwamba fresh graduate pamoja na kwamba anakuwa hajafanya kazi kwa malipo anakuwa expected awe na experience inayopatikana either from field work au internships. Most countries mtu akimaliza chuo ana-apply internship first and traditional employment comes after. Vilevile kazi pia zimegawanyika, kuna entry-level jobs (junior staff), professional, executive (managerial) etc. Ni rare sana kukuta entry-level jobs zinahitaji experience zaidi ya ile inayotegemewa kupatikana kwenye internship au field work.

  Kitu kingine nilichogundua among the students in our local versities ni kwamba mtu akiingia chuo ni yeye na kitabu kitabu na yeye. That's not how things are supposed to be. A versity student is expected to do some volunteer work, do their OWN research (sio ambayo ipo kwenye curriculum), start some foundations/organizations, participate in inter and intra collegiate extra curricular activities, travel abroad (if and when they can) etc. Hivi vitu vyote vinachangia sana kwenye experience. Najua excuse kubwa ni kwamba kitabu ni kigumu so msuli lazima uwe mkubwa but we all know kwamba muda upo wa kutosha. Wapunguze kwenda samaki samaki, kujiruu, kuspend days waki download bootlegs from kickass na 4shared, na watumie huo muda kuangalia problems zinazoikabili jamii na kufikiria namna ya kuyatatua.

  Versity students ni watu wanaoheshimika sana na kusikilizwa sana in lotsa countries. Mawazo yao, kazi zao za kijamii, michango yao huwa inapewa sana kipaumbele. Unfortunately kwa Bongo bado sana. Wanafunzi wa chuo Bongo akili zao zote zipo kwenye GPA, that's NOT learning and it's definitely NOT what is expected of them , since you won't be hired to sit for exams but to work, get your hands dirty, and deliver. GPA doesn't say much about a person apart from their rote learning ability.Labda tatizo ni culture yetu, labda ni curriculum zetu, labda ni wahadhiri, labda ni ukosefu wa exposure, labda ni hali ya kiuchumi, labda ni combination ya vitu vyote hivi; Ila ukweli ni kwamba we still have a long way to go. A very long way indeed to the day when our versity students will be inventing things and starting multi-million (billion?) dollar industries. God help us.
   
 6. A

  AMBUJE Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  real kk
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  waswahili wanakuambiaje skuizi hapa mjini! OMBA CHUMBA UTAPATA,LAKI SIO KAZI!
   
 8. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,570
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  HATA SENSA?Ndo kusema graduates 2melogwa?2melaaniwa?2measi nchi ye2?2mekosea mahali?2mepuzwaa?Hata mbuyu ulianza kama mchicha WAKUMBUKE, co tu senior posts HATA JUNIOR posts!MFUMO UNATAKIWA UFUMULIWE WA ELIMU if we nid dvt of za pipo!
   
Loading...