Kufungia kampuni si suluhisho la kupunguza ajali,Sumatra wanafanya mambo kama watu wasio na elimu kabisa.Ukaguzi huu wangekuwa wanaufanya kabla wajue gari ina hali gani,viwango vya matairi waliyofunga na huduma ndani ya mabasi yenyewe zikoje kama 1st aid na kizimamoto.Wakibaini kuwa mabasi fulani hayakidhi kiwango ndio wayafungie mpaka yatimize vigezo vyote,aidha kuifungia kampuni baada ya ajali halafu kesho yake ingine inachinja watu mnaonekana mko nyuma sana kielimu halafu very hopeless.Kaeni standby kila stendi ya basi kuyabaini mabasi yasiyofaa wasiyaruhusu kuanza safari.Namkumbuka afisa 1 wa sumatra aliwahi kuniambia tukiwa ktk mazungumzo ya kawaida, watu wote wasio na elimu ya kuhudumia wasafiri stendi itafikia tutawaondoa, sasa mi naona wao sumatra ndio hawana elimu bora hata wapiga debe.