Hii kwa hakika ni habari njema kwa wapenda amani wote duniani hasa raia wa DRC ambao wameteseka sana kutokana na vita hii. Ushiriki wa Tanzania katika kuutokomeza uhasi huu ni wa kujivunia pia. JWTZ imeonyesha uwezo. Natumai amani hii italindwa idumu.
Mwakyembe ameonge kwa vitendo!!! Kwa kweli amethibitisha kuwa yeye ni kiongozi makini na mwenye vision. Nitafurahi kama viongozi wengine watajifunza na kufanya mambo mazuri kama Mwakyembe.
Namkubali sana Zitto Kabwe kwa ushupavu wake wa kusimamia hoja, nampongeza pia Deo Filikunjombe na wana CCM wengine walioona mbali zaidi ya chama na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Naamini wapo wabunge wengi wa CCM walioamua kutotia sahihi zao kwenye list ya Zitto lakini waliiunga hoja mkono kwa...
NI vema viongozi hasa wa vyama vya siasa wakaweka wazi sera zao juu ya mfumo wanaoufuata ili hata wapigakura wajue na wachague kwa kuzingatia hilo pia. Ujamaa kwa sasa umebaki kwenye vitabu, sidhani hata CCM kama inaukubali mfumo huu ingawa hakuna kiongozi aliyejitokeza kuhoji.
Nadhani ni...
Wazo la umri muafaka wa kura Rais wa nchi mimi naliangalia kwa tofauti kidogo. Kwanza kabisa naamini Tanzania inahitaji Rais shupavu, mwenye uelewa mzuri wa masuala ya kiuchumi na kisiasa na mwenye uthubuti wa kufanya maamuzi yenye lengo la kuwanufaisha wengi hata kama maswahiba wake wachache...
With this Januay has shown the way...I commend him on this and wish him all the best in serving the people of Bumbuli and the Nation at large. Well done comrade!!!
Ndugu yangu Magufuli ni kiongozi wa Kitaifa, na anayoyafanya tunafaidika wote...as long as anatekeleza maamuzi halali, tupo pamoja naye. Akighafilika pia tutasema.
Msimamo wangu katika hili ni kwamba Sheria za nchi lazima zifuatwe. Watu wengine hawafuati sheria na akiambiwa anasema viongozi hawafuati haki za binadamu. Ili tupate maendeleo ni lazima sheria zifuatwe...Magufuli ni mtekelezaji mzuri wa maamuzi ya serikali katika wizara yake. Tumpe ushirikiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.