Ujamaa wa Tanzania ni kwenye Katiba tu! - Zitto Kabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujamaa wa Tanzania ni kwenye Katiba tu! - Zitto Kabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 11, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,537
  Trophy Points: 280
  Kama una access please watch TBC-1 now!.

  Zitto Kabwe na Simbachawene wako live on Tbc -1 wakizungumzia uchumi!.

  Mazungumzo hayo yamejikita katika kujadili muswada wa sheria wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara Tanzania.

  Amesema tatizo kubwa la Tanzania kama nchi, hatuna mfumo wa ukweli wa eundeshaji wa uchumi wa taifa. Katiba inahubiri kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. ambayo mfumo wake wa uchumi ulipaswa kufuata misingi ya Ujamaa.

  Zitto amesema, kiukweli Tanzania haifuati misingi ya uchumi wa kijamaa bali tunafuata misingi ya kibebari tena ubebari mbaya kabisa!.

  Kwa maneno haya ya Zitto yanamaanisha sisi Tanzania "We don't practice what we preach"!.

  Kwa mtaji huu, jee tutafika?!.

  Paskali
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu Pasco, unatakiwa utuelezee kidogo hoja zinazotolewa kwa sababu wengine hatuna access na TV muda huu.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Pasco bana!
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wengine hatuna Tv mkuu si udadavue kidogo!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,537
  Trophy Points: 280
  Thanks nime top up!
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,537
  Trophy Points: 280
  malizia!.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,537
  Trophy Points: 280
  Ninejazia kidogo
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tanzania tumekuwa taifa la wachumia tumbo. We have a lot of greedy leaders.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Huu ugonjwa wa kumshobokea Zitto unasambaa kwa kasi ya ajabu
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kwani hatujui hilo?
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unasambaa kama saratani ya ubongo.
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu tumekuwa taifa la wasaka tonge. Hebu jiulize kwa nini tuliliua Azimio La Arusha?
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ofcourse ujamaa umebaki kwenye misiba na maziko tu!
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,537
  Trophy Points: 280
  Tatizo la kudili watu badala ya hoja ni kibwa kuliko nilivyodhani!.

  Badala ya kujadili hoja ya mada husika iliyoko mezani watu wanahadili aliyetoa hoja au aliyeanzisha mada!.

  Ukiona mada mezani, kama huna cha kuchangia si unajipitia tuu!. Kwani lazima uchangie?!.

  Mada ni mfumo wa uchumi wa Tanzania kuhubiri Ujamma na kupractise ubepari!. Unajua lolote kuhusu mifumo ya uchumi, unachangia, hujui lolote unajikalia kimya na kuchangia zile mada ambazo unalo lolote na sio kuanza kutaja taja majina hapa!, hapa tunajadili issues sio watu!. P'se!.
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani hilo so la wazi kabisa, Ila mkisema sana mtawazindua CCM kwenye usingizi, kila siku mimi huwa nasema kwa sasa CCM haina falsafa. Kumbuka maneno ya JK the 1st: Kwamba chukueni mazuri tuliyofanya na yaacheni mabaya, lakini sio kama mnavyofanya kuchuka mabaya na kuacha mazuri. CDM wameifanyia kazi hii kauli.
   
 16. Ambrose Nshala

  Ambrose Nshala Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI vema viongozi hasa wa vyama vya siasa wakaweka wazi sera zao juu ya mfumo wanaoufuata ili hata wapigakura wajue na wachague kwa kuzingatia hilo pia. Ujamaa kwa sasa umebaki kwenye vitabu, sidhani hata CCM kama inaukubali mfumo huu ingawa hakuna kiongozi aliyejitokeza kuhoji.

  Nadhani ni wakati muafaka vyama vya siasa vianze kujitofautisha kwa mfumo wa uchumi wanaouamini na watakao utumia kama wakipewa nafasi ya kuiongoza nchi.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  usikurupuke kujaza maneno meeengi.Kobello ameshakujibu hapa chini,
  Nani asiyejua kuwa Tanzania hakuna siasa za ujamaa na kujitegemea? Ungeandika hivyo kuwa Tanzania hakuna siasa za ujamaa na kujitegemea unajua idadi ya wachangiaji wa post yako wangekuwa wachache, ili kuonyesha na wewe una ugonjwa wa kumshobokea Zitto, ukaanzisha thread yenye jina la Zitto wakati unajua kabisa kuwa studioni Zitto hakuwa peke yake alikuwa na Fisichawene.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hamna haja ya kugombana hapa. Suala ni kwamba hivi chama ambacho hakina falsa inayoeleweka kinaendeleaje kuwa na usajili? Hebu nielimisheni.
   
 19. Gor

  Gor JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2015
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 2,794
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyu bwana kama vile amechanganyikiwa vile!ujamaa?.Kwa vipi unaweza kupractise ujamaa?.Kuwa na vision inayoeleweka ili uwe na mission....inaonekana unalaghai watu maana bado unataka tugawane umaskini.....Zito hayo ni ya mwaka 47.....tuko digitaly....ubebari a.k.a soko huria,a.k.a ubinafsishaji nk
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2015
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Si unaona wamefuta nyuzi yako na kuhamishia huku kama post.

  Sasa najiuliza, huyu Zitto ana nguvu ipi ndani ya JF?

  Jana kuna mwana JF alileta nyuzi kuhusu Zitto na JF, sijuwi kama hawajaifuta na nilikuwa sikumwelewa, sasa naanza kumwelewa.
   
Loading...