namkubali zitto lakini usisahau waasisi wa kuiwajibisha serikali walikuwa ni Lissu na Mdee,Zitto aliteka hoja, kama umesoma hesabu ni kwamba mdee na lissu ndio walioderive formula Zitto akakimbilia kwenye jibu"mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni" zitto ana uwezo mkubwa sanawa kujenga hoja zenye mashiko na zinazosimamia katika tafiti na vielelezo halisi. katika hili tusiwe wanafiki kwa kutompa mtu kitu anachostahili.