ujinga mzigo!si kweli huyu ni mpenda sifa hafanyi kazi kwa sababu anajua, kinachonishangaza tunamchekea tutaingia nae chooni, Jerry Slaa you are my hero uko wapi please put this insane where he belongs,
ujinga mzigo!si kweli huyu ni mpenda sifa hafanyi kazi kwa sababu anajua, kinachonishangaza tunamchekea tutaingia nae chooni, Jerry Slaa you are my hero uko wapi please put this insane where he belongs,
Mi namuunga mkono Magufuli....
Pale Tegeta tunataabika sana!
Masaa mawili foleni kisa watu wanafanyia biashara barabarani. Wakiambiwa wahamie soko la Nyuki hawataki. Bomoa baba! Bomoa!
kaka
siasa ndio inayotuumiza nchi hii,tumeweka sheria kama mapambo tuu,kwani wakati PM anamzuia Magufuri asibomoe alikuwa ana tumia sheria zipi
Kapimwe wewe!!si kweli huyu ni mpenda sifa hafanyi kazi kwa sababu anajua, kinachonishangaza tunamchekea tutaingia nae chooni, Jerry Slaa you are my hero uko wapi please put this insane where he belongs,
Hizi sheria huwa zinafuatwa kipindi kama hiki. Thubutu afanye hivi mwaka 2015. Hata chama chake kitampiga BAN!!!!!!
Tatizo Sheria zimewekwa na wenyewe na kisha wenyewe wanapindisha kwa masilahi binafsi ya either kulinda kura au mshiko wako watendaji wa Serikali waliopewa madaraka.[/B]
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
NA wewe Ambrose kwa sababu ndugu yako mnatoka maeneo ya huko juu ndio unamtetea! hujambo lakini?
kama tunataka barabara hizi ni lazima tumwache Magufuri afanye kazi yake.
![]()
kama tunataka barabara hizi ni lazima tumwache Magufuri afanye kazi yake.
![]()
Watanzania wengi hadi Rais wameleta huu usemi kwa wakti tofauti kuwa mlikuwa wapi mpaka mtu/watu wanamaliza kufanya kitendo fulani kibaya kama kujenga sehemu isiyoruhusiwa. Yaani tunataka kugeuza mamlaka zake kama City, Tanroads, etc. kuwa za kupita mitaani kutafuta nani anafanya kosa badala ya kufanya kazi zao husika? Hawa si wavunjaji sheria tu? Mbunge wa Ubungo naye alisema watu wanaofanya biashara barabarani watafutiwe kwanza mahali pakwenda halafu ndiyo watolewe. Kazi ya kuatafuta sehemu kama hizo zipo ndani ya uwezo wake. Amefanya hivyo?
Serikali ni lazima isimamie sheria zake. Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae aliamuru karibu kijiji kizima kilichojengwa kwa kuvamia ardhi ya serikali kivurugwe. Waliovamia walikuwa ni watu wazito na majengo yaliyojengwa pale yalikuwa ni ya gharama kwelikweli. Tingatinga zilivuruga majengo yote. Wahanga walilalama kuwa wathamasisha asihaguliwe tena kuwa Rais. Aliwajibu kuwa wafanye hivyo tu lakini yeye asingependa kuwa rais wa wavunja sheria. Alichaguliwa kuwa rais tena.
Kumbuka kuwa huyu ndiye aliyepata tuzo la Mo Ibrahim baada ya urais wake.
Hii kitu ilitakiwa unaikopi kama ilivyo afu unaipaste pale ubungo mataa weeeeee!ukitoka tauni unanyoosha moja kwa moja kimara-mbezi huyooo, kama unaenda mwenge unavuka unashuka zako kulia hapo huyoooo
Hii kitu inawezekana kabisa! Ni kuacha siasa na kuweka kipaumbele tu !