Recent content by amatolo

  1. amatolo

    Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa anahujumu miradi ya maji, nchi, na Serikali ya Awamu ya Tano

    Maji Maji Maji Maji,Maji Maji Maji. Hapa hapa ndo tunapitia awamu hii.
  2. amatolo

    WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

    Amekutuma umsemeee? fanya yako na yeye anafanya yake
  3. amatolo

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    CONTROLA, Mkuu umesahau Shimhwa, Power, King, na zingine nyingi
  4. amatolo

    Kwanini vyombo hivi hupendelewa zaidi na watu kutoka Taasisi za Ulinzi haswa wa Jeshi la Wananchi?

    Mimi ninachojua ni kwa Wanajeshi wengi hawana ganji(milunguru) kama wafanyakazi wengine, hivyo basi wananunua magari wanayoweza kuyahudumia kwa kutegemea vipato vyo hahali.
  5. amatolo

    Dr. Bashiru, CCM ilipasuka 2015, hutaweza kuiunganisha kwa kukumbatia wasaliti

    Mkuu, CCM wanakunyima usingizi sana eee, wewe tota lini umeijua CCM kiundani hivi? Bashiru umeanza kumfahamu lini? Pole sana, ila naona taratibu umeanza kuelewa somo
  6. amatolo

    List of African Countries with Hardest Working and Laziest People

    SGR imepata pa kuishia au inaelea porini!
  7. amatolo

    Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

    Uliposema utamu mawazo yangu yote yalihamia kunako, ningejua hichi ndo unataka kuandika nisingepoteza muda wangu kusoma
  8. amatolo

    Ni mwaka wa 6 sasa tangu nioe, lakini jinsi nilivyompata huyu mke imebaki ni kichekesho kwangu

    Kama nakufahamu vile, ila uilchomfanyia sister sio poa kabsa, na umekosea kumuanika hapa, kumbe ndo uko hivi! hakuna mwanaume makini mwenye tabia kama zako
  9. amatolo

    Eliud Kipchoge ana sura ngumu balaa kweli ana miaka 34

    Hajasemea mafanikio kasemea umri, mbona kagere na yeye anasemwa
  10. amatolo

    Video: Mbowe atikisa Vwawa , wananchi wamshitukia akiwa kwenye gari , Kijiji kizima chalipuka kwa shangwe !

    Unajitahidi sana kumwambafai hiki chama, lakini hakika nakuambia umebaki pekeako, wenzio wote walishasoma alama za nyakati wamekaa kimya.
  11. amatolo

    Njia 9 za kutambua kama mwanaume ana uume mkubwa

    Zero Iq kuna anakusaka huku eti una kibamia ndo maana unapenda kujisifia kuhusu uchakataji wa papuchi
  12. amatolo

    Hivi wake za watu mna matatizo gani?

    Ujiandae kufumuliwa pia, kufanya hivyo utakuwa umeweka rehani tigo yako
  13. amatolo

    Video yavuja inayodaiwa wafanyakazi wa TPA wakiiba vifaa vya gari. TPA yasema video ina mpango wa kuchafua taswira ya bandari

    Kipenzi kwako na familia yako sio kwangu, familia yangu inakufa njaa then unataka Magufuli awe mpenzi wangu. Kipenzi ni MENINA tu!
  14. amatolo

    Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    Mayanga! ha ha ha ha ha ha, hii ni tamu sana, kwani hujui kuwa huyu n Shemela? Nenda pale Azania Bank Plc branch ya Rocky City Mall ujionee mambo, kwe kwe kwe kwe kwe
Back
Top Bottom