Video: Mbowe atikisa Vwawa , wananchi wamshitukia akiwa kwenye gari , Kijiji kizima chalipuka kwa shangwe !

Kusema ndio ukweli sio? Waongo na waharibifu ndio wakweli kwenu.

Huo ni ukweli, the guy is far better than your lovely one
 
Tobaaaa, baadae utasikia wananchi walinisimamisha wakaniomba nisiachie uenyekiti wa chama wana imani sana na mimi. Na mimi nimetafakari sana nimeona nisiwavunje moyo ntaendelea kuwa mwenyekiti
Hivi kwa nini ccm hamtaki kulala usingizi manjisumbua na Uenyekiti wa Mbowe ?, nyie si mna chama chenu na mna mwenyekiti wenu ?, hivi mmewahi kutusikia sisi tukiwa fuata fuata kuhusu mzee mangula ?.
 
Ingekuwa haijiamini ingechagua watu wa kujiandikisha. Kwanza hii kubembelezwa ni uungwana tu wa rais. Miaka ya nyuma mwanaccm mmoja alikuwa na uwezo wa kujiandikisha hata mara tano na anapiga kura.
Mkipewa fursa mnaongea, mkinyimwa fursa mnaongea.
Wingi wa kura unatoa nafasi ya watu kujitafakari wamekosea wapi hata wakichakachua lakini ukweli unabaki kuwa hatukubaliki hapa. Mkiacha wengine wakichagua hata kumi na wakichagua ccm itaonekana wazi kuwa tunakubalika hapa isipokuwa wapiga kura ndio wachache. Tatizo la nyumbu ni kutotumia akili.

Usitake kuhalalisha kuwa limau ni chungwa.
 

Attachments

  • 2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
    19.9 KB · Views: 1
  • VID-20191014-WA0002.mp4
    1.1 MB
Wote hao hawajajiandikisha lakin matokeo yakitoka wanadai kura zao zimeibiwa
hakuna mtu atakaye laumu mzee baba. kujiandikisha ni hiari ya mtu wala sio swala la chama. upuuzi wenu mnadhani tulikuwa hatujui au tumesahau kwenye chaguzi za marudio. unakumbuka ule ujinga na upuuzi wa kinondoni
 
Hivi kwa nini ccm hamtaki kulala usingizi manjisumbua na Uenyekiti wa Mbowe ?, nyie si mna chama chenu na mna mwenyekiti wenu ?, hivi mmewahi kutusikia sisi tukiwa fuata fuata kuhusu mzee mangula ?.
⛏️🗡📍📌💉💊🦂🐜
 
Back
Top Bottom