wewe mweu kweli unafikiri kama mtu anatakiwa apewe haki yake halafu ananyimwa kwa sababu ya maslahi ya wachache inakuwaje!inachotakiwa watu wapewe haki yao kwani hao vijana wote umeambiwa ni wanachadema?acha kufikiri kwa nyuma wewe -------.
huyo ni mwizi mkubwa atufai kutuongoza watanzania,kwanza ata kabila lake amefoji inaonyesha jinsi gani ni msanii ata kwenye ukabila wake ameukana sasa apewe uongozi wa nchi halafu aje kukana ata uraia wake aseme mimi sio mtanzania mlinipa uongozi wa kazi gani lingali mimi sio mtanzania!yeye na...
muhuwaji huyo mkubwa,afai afai ata kuwa balozi wa mtaa huyo,hapo kikwete naye kaingia choo cha kike kumpa zezeta kama huyo uwaziri,watanzania tunazidi kuumizwa hapo.
tundu lissu ni waukweli kamanda.huyu kijana msando tatizo lake ni wa kujikweza ata kesi aliyosimamia ya msaliti zitto asifikiri ni uwezo wake wa uwakili alionao ndio umesababisha msaliti zitto kushinda no!ni sababu picha yenyewe ya hiyo kesi inaonyesha kulikuwa na mkono wa vyombo vya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.