Hongera Bwana Chitanda,nami nakufata nyuma.
mfuate mjinga mwenzako CDM NI MSHIKE MSHIKE,mwanzo mwisho.
Hongera Bwana Chitanda,nami nakufata nyuma.
Kwani lini aliacha kuhama vyama, karibu kila chama keshahamia. Kaanzia CCM Kaja NCCR then NCCR Mageuzi, then TLP then Chadema now back CCM. Malaya atabaki malaya
ngoma inogileeeeee, chadema kwisha habari yake
kwahiyo kumbe BENNA kazi yake ni baby sitting?
LEMA - CCM -> NCCR ->TLP -> CHADEMA ->? Naye huyu ni malaya?
LEMA - CCM -> NCCR ->TLP -> CHADEMA ->? Naye huyu ni malaya?
Hajarudia matapishi ya CCM kwa hiyo hawezi kuwa Malaya. Ukiona CCM, NCCR, TLP, Chadema then CCM huyo malaya
Hongera Bwana Chitanda,nami nakufata nyuma.
Hajarudia matapishi ya CCM kwa hiyo hawezi kuwa Malaya. Ukiona CCM, NCCR, TLP, Chadema then CCM huyo malaya
Unajua kesho atajiunga na chama gani?
Hiyo shule yenu kiboko yaani mlikuwa mnalishwa kiapo kila wiki!shule ya msingi nimeanza wakati wa utawala wa Rais Nyerere na kumaliza wakati wa Utawala wa Rais Mwinyi sijawahi kushuhudia kitu kama hicho labda mlikuwa mnakula viapo shuleni kwenu tu.Kilichopo ambacho watu wengi hasa vijana hawataki kuamini ni kwamba............kwawale woote walisoma shule za msingi kabla ya 1992....kulikuwa na siku maalumu katika wiki wanafunzi wanaapishwa kiapo cha kuitii na kuitumikia TANU/CCM kwa moyo na nguvu zote...........huku mwihoni tukisema ''eehhh Mwenyezi Mungu Nisaidie''..........kiapo hiki waliapa pia akina Slaa,Mtei,Lipumba,Mrema nk......so ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli kutokaana na viapo walivyofanya awali ndio maana kila kukicha ni kufukuzana , kuitana wasaliti nk..........ukweli ni kwamba vijana wengi wenye miaka chini ya 25 wanaweza kuwa wapinzani wa kweli ila viongozi wengi wa upinzani sio wa kweli...........!