zitto ana akili mara mia mbili ya viongozi wote wa chadema makao makuu
Mlimdanganya huyo mamluki,na sasa kafa kisiasa! hana lolote,kwa sasa m4c pamoja daima ndiyo habari ya mujini!
zitto ana akili mara mia mbili ya viongozi wote wa chadema makao makuu
gongo tu huko hakuna la maana
M4C ilikuwa SACCOS ya kumsadia Lema ili ale,hii M4C PAMOJA sijui ni mradi wa nani?!
Ben Saanane Mwita Maranya Simiyu Yetu Ritz.
yakumtetea baba ako pimbi wewe.
naomba mahakama itupilie mbali maombi ya saccos hii ya mafara ya chadema
zitto ana akili mara mia mbili ya viongozi wote wa chadema makao makuu
safi sana,kweli chadema ni noma,hakika ukombozi uko karibuChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha majibu na pingamizi la awali dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuhusu Kamati Kuu ya Chama hicho akiitaka mahakama kuzuia uanachama wake usijadiliwe hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa.Kadhalika, chama hicho kimejibu barua ya Zitto pamoja na kuwasilisha mwenendo wa shauri lililopelekea kuvuliwa nyadhifa za uongozi katika chama hicho kama mlalamikaji alivyoomba.Majibu hayo yaliwasilishwa jana Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.Mawakili wa chama hicho, Tundu Lissu na Peter Kibatala, katika pingamizi hilo kuna hoja sita na wakiitaka Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo kwamba haina mashiko ya kisheria.Hoja hizo ni shauri hilo halina msingi kwa sababu halikuwasilishwa katika Mahakama ya chini kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha Mwenendo wa Mashauri ya Madai.Limewasilishwa masijala Kuu ya Mahakama Kuu badala ya masijala ya Wilaya kinyume cha sheria na taratibu za masijala za Mahakama.Mlalamikaji hajaomba maoni ya Mahakama Kuu kuhusiana na suala linalohusiana na uanchama wake Chadema.Nyingine ni shauri halina msingi kwa sababu Zitto anaendesha mashauri mawili, Mahakama Kuu na rufaa ya kwenye Baraza Kuu la chama.Pia Mahakama Kuu siyo mahali pake kwa sababu Zitto hajatumia nafasi zilizopo ndani ya Chadema.Mahakama Kuu haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya maombi ya kuzuia Zitto asijadiliwe uanachama wake kwa sababu ni mambo ya yanayohusu Chadema.Chadema wakijibu maombi ya msingi ya Zitto kupitia hati iliyosainiwa na Sylvester Masinde na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa, wamedai kwamba hawana ubishi kwamba mlalamikaji alivuliwa uongozi Novemba 22, mwaka 2013.Pia, inaeleza kwamba Zitto alishiriki katika Mkutano wa Kamati Kuu na alijua kinachoendelea kuhusu tuhuma zake.Chadema inaomba Mahakama kutupilia mbali maombi ya mlalamikaji kwa kuwa hayana mashiko ya kisheria.Mapema Januari 2, mwaka huu Zitto kupitia Wakili Albert Msando, alifungua kesi mahakamani hapo dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama hicho na Katibu Mkuu, Dk. Slaa, akiiomba Mahakama itoe zuio la muda la Kamati Kuu kutojadili suala la uanachama wake hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa maamuzi.Mahakama iliyokaa chini ya Jaji John Utamwa ilikubali na kutoa zuio la muda hadi kesi ya msingi itakapoisha.Hisani ya Nipashe
Mpe tu U Nusu Mungu!!zitto ana akili mara mia mbili ya viongozi wote wa chadema makao makuu
we jitekenye tu!Kuna Mwandishi
mmoja kutoka China anaeandikia gazeti la Raia Mwema aliwahi kuandika kuwa
Zito kwasasa hana lakufanya isipokua kuondoka Chadema, katika makala
hiyo huku akidhani kuwa nikweli Zito anaipenda sana CDM kutokana na Zito
mwenye kulalamika sana kwenye vyombo vya habali. Alimtaka ajiodoe kwani
kung'ang'ania sana madaraka kwa nguvu kunge endelea kukuza mgogoro
ndani ya chama hali ambayo ingekipotezea mvuto chama nakusababisha
kupoteza mvuto ndani ya jamii, sasa tofauti na alivyozani Mwandishi huyo
nikua Zito anachofanya sasa ni wivu, Kwakua kaona mwelekeo wa CDM
kushika Madalaka 2015 anaona Nikukivuruga ili wakose wote.
umevimbiwa ubwabwa wa msibami wewe