Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

Chadema bwana, yaan mi siachi kuwapenda! Sasa maccm yanaharisha kwa hofu....go Slaa...---- em
 
we pimbi kweli..2010 msigwa alikuwepo kwenye kamoeni za Dr.Slaa au unajifurahisha tu ?mnadhani hizi ni zile kampeni zenu za kula wali na maharage
Wewe ni msukule wa ufipa.na bado, Utatumika sana.
 
Unahangaika sana.
Watu tumeamua kukupuuza.
Tuko busy na kutoa Elimu ya Uraia na kuhakikisha tunayapeleka Magamba Morgue.
Sisi ndio tumempuuza huyu anaetaka kuhalalisha gongo atuharibie nguvu kazi ya taifa
 
huyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm!

Kuhusu mgombea Urais, ulitaka tuweke mafisadi kama wale wa chama cha magamba??!
 
Jamani wataalamu wa picha kutoka chama cha magamba twambiaeni kama hizo picha ni za mwaka 2010!!!
Heko CHADEMA yetu
 
..haki ya Mungu haka Kababu mwaka huu watakakoma..,kanawatia adabu balaa
 
Hazistui picha za miaka mingi iliyopita tafuteni uongo mpya huo umepitwa na wakati
 
CHADEMA jamani mwendo mudundo sana mwepesi sijui anajisikiaje?
 
jamani jamani hivi kweli ccm ndo inaenda kufariki hivi hivi duuh.
 
Back
Top Bottom