Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Dr Slaa anakadi ya CCM,

Mbowe kala hela za CCM,Mkono na Rostam,

Ila Zitto akihusishwa na CCM anaonekana msaliti na mhaini!!

mleta uzi ameomba ujadili hizo hoja za kizalendo za DR SLAA kwa moyo mweupe , MBONA WEWE UMEKUJA NA LIJIMOYO JEUSI NAMNA HIYO ?
 
naona wanazidi kupagawa mkuu, kwani hao vijana m. 5 wamekatazwa kwenda kujiandikisha? ama kwa vile wameziona dalili zote za kushindwa ndio maana wameanza vijisababu! kazi mnayo wana sacos
 
Ccm mna kazi ya kufanya! Wacha CHADEMA waendelee kutufumbua macho manake ccm kumezidi uozo! Hata hilo baraza la mawaziri mmh; bora hata hao waliotoka
 
They r convinving somehow tatizo lugha wanazotumia wanaojiita wafuasi wakereketwa wa chadema ndo sometime zinaboa ukitaka kuchallange baadhi ya hoja zao wanafanya reference na ccm mara wewe ccm,mara wewe team zito kumbe sometime tunahitaji more clarification tu kwa ajili kuelewa zaidi
 
naona wanazidi kupagawa mkuu, kwani hao vijana m. 5 wamekatazwa kwenda kujiandikisha? ama kwa vile wameziona dalili zote za kushindwa ndio maana wameanza vijisababu! kazi mnayo wana sacos

wewe mweu kweli unafikiri kama mtu anatakiwa apewe haki yake halafu ananyimwa kwa sababu ya maslahi ya wachache inakuwaje!inachotakiwa watu wapewe haki yao kwani hao vijana wote umeambiwa ni wanachadema?acha kufikiri kwa nyuma wewe -------.
 
They r convinving somehow tatizo lugha wanazotumia wanaojiita wafuasi wakereketwa wa chadema ndo sometime zinaboa ukitaka kuchallange baadhi ya hoja zao wanafanya reference na ccm mara wewe ccm,mara wewe team zito kumbe sometime tunahitaji more clarification tu kwa ajili kuelewa zaidi

mjomba unachotakiwa kukitilia uzito ni kauli za viongozi wa cdm tu .
 
Chadema inaleta mwamko,ila inabidi washughulikie kasoro zilizoainishwa kwenye ule waraka wa siri na ushauri wa wataalamu wa kisiasa.CCM atapigwa chali
 
Slaa ana maadili gani? CHADEMA ndio pango la wahuni kujificha, Zitto aliwajibishwa kisa tu aliingilia maslahi ya wakubwa na kutaka kusanua dili la akina Slaa kujikopesha Ruzuku.
 
Wamekuja na Mawaziri Mzigo halafu aliyewaitana kutaka wawajibike leo anawatetea kuwa tuwape time
 
Haya ndio yaliyokuwa maneno ya Slaa,baada ya kuombwa kutoa ufafanuzi na kijana wa CHADEMA kuhusu swala la Zitto:"CHADEMA katka nidhamu haijaogopa,vinginevyo hatutakuwa tofauti na CCM.CHADEMA tunajiamin,Tukisimamia kitu tunajiamini tutakisimamia.Kama tusiposimamia maadili ndani ya chama hatuna sababu ya kwenda ikulu,kwa sababu tutakuwa wezi kama CCM.Kama tuliwaondoa madiwani watano,tukaumia sana nafsi zetu kwamba madiwan tunawatafuta kwa gharama kubwa,walipoasi wale madiwan watano,wakaingia kwenye mkataba na CCM,hatukuogopa madhara ya kuwaondowa watano,tuliwaondoa wote.Tofauti na CCM walioshindwa kumuondoa meya fisadi.Kama CHADEMA haitasimamia misingi yake,hatuna sababu ya kuchaguliwa na watanzania kwenda ikulu" Wana jf naomba tujadili kwa moyo mweupe maneno haya ya kizalendo na ya kiwajibikaji bila ushabiki.
Dr.nakusifu sana,uko juu,kwa kweli habari ndio hiyo,zitto ni kiumbe mdogo sana ndani ya chadema,sijui kwa sasa yuko wapi maana hasikiki kabisa,kweli chadema ni noma,peoplesssssss powerrrrrrrr,viva chadema 2015
 
There is no need to discuss about someone's personal issues! Masuala ya Mbowe ni ya Mbowe! Na ya chama ni ya chama! Chadema huwa tunaamini ktk kusimamia kile tunachokiamini! Zitto anastahili kuadhibiwa kwa alichokifanya! Alishaonywa zaidi ya Mara nne hadi kufikia kukalishwa na wazee wanne wa busara wa chama lakini hasikii! Sasa mtu unataka abebwe na mbeleko gani!
 
Kukosa msimamo ni Ugonjwa wa viongozi wa Afika, lakini CHADEMA wameweza. Inaonekana hata wakiingia madarakani yeyote atakae iba pesa za UMMA atafungwa kitanzi hadharani, china wameendelea kwakuwa na misimamo mikali
 
Mtakoma MaCCM mnadhani CDM inamchezo? Hata yeye Zito anajua hilo hatuwezi kumwacha
 
Pamoja na shida zangu zote nilizonazo zilizoletanishwa na uongozi hafifu wa CM, lakini kila mara nikiona hali hii huwa nafarijika sana rohoni kwangu:- Mungu ibariki CHADEMA:

attachment.php
 
Nadhani huwajui wazinzi mmojawapo yupo magogoni pale ana watoto kila aina ya ukoo
I am always afraid of these remarks!!!!!!!!!!!!!!! Can someone tell the CCM fanatics to think twice before they post something.
Sometimes the repercussion is a bitter pill to swallow for all of us who still keep the African culture!!
 
Back
Top Bottom