Hivi ccm hii ni ya nani? Maana wengi tuna ifahamu ya Nyerere . Enzi ya Picha na kivuli,enzi ya kupata ajira kwa kadi ya chama. Au hii ndo ya Enzi ya meno ya tembo??
haitoki mpaka tembo waishe.
Tanya upo juu sana maana hapa Congo na Ufaransa wanakufahamu. Papa Wemba mwenyewe anakuimba na Michael Jackson anacheza kwa furaha sana anapoimba na kusema jina lako. Kishansa Makambo menge menge.
Damu yangu imejaa rangi ya kijani. Na nina uhakika kabisa CCM itadumu daima. Wewe Tetty, Mwammbelo na MSALANI mniache nisonge mbele maana nahitaji kugombea udiwani mwaka 2015

Sijakukatalia kugombea UDIWANI 2015,ila nakuonea huruma kama unadhani kwa kupitia CCM uifikiriayo utafikia malengo yako ya Maendeleo kw aTAIFA lako basi umkosea,hautafika.Pole.CCM ya jana si ya leo na nina wasiwasi siyo itakayokuja kesho.Pili kama huna pesa na jina usitegemee kushinda kwenye kura ya maoni ni angalizo tu.
ifike mara hili jukwaa liwe linapima uwezo wa kiakili kabla mtu hajasajiliwa kujiunga na hili jukwaa makini lililojaa wasomi wa nyanja mbalimbali!mtu anapotoa hoja dhaifu kama hii na wakati hata kijijini kwao maji hakuna,barabara mbovu na huduma muhimu hakuna afu anakuja humu ndani na kutoa mawazo mgando ambayo hata hata mtoto wa chekechea hawezi kuyasema!!!naweza sema huyu mtoa mada inawezekana ni toleo la elimu mbovu aliyoipata kutoka ccm na ndo maana haelew nn anaongea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.