live updates:Mbowe akihutubia wilayani mpanda mjini

live updates:Mbowe akihutubia wilayani mpanda mjini

mkuu hii OPD ni kiama cha ccm , hawana pa kutokea .

Kweli mkuu hata huku naona wanakimbia kabisa moto mkali hawauwezi!!! Kina buku 7 leo sijui wako wapi wake wapooze makali!!! Tehe Tehe!!! Imakula kwao na masaliti wao!!! Na mpango wa kanda ya ziwa kuwanunua madiwani utafeli kama ulivyofeli wa ZZK Saliti!!! Eti leo hii ndiyo anawaambia eti mpango wa kuwanunua madiwani kanda ya Ziwa wasimhusishe maana walikuwa wameseme wameondoka kwa kuwa ZZK katemwa!!! aaaaaaaaa wapi!!! Inteligensia hatari sanaaaaaa!!
 
kama kawaida makamanda,watu wamejaa sana katika viwanja vya kashaulili.mbowe anasubiriwa kutua na chopa. Chopa ndo limefika yupo lema,mnyika na mbowe,watuwanashangilia sana.mbunge wa mpanda mjini kakimbia mkutano,sasa ni zamu ya mwenyekiti wa kanda kuhutubia,lema anashangiliwa sana.

KAMANDA NAKUOMBEA KWA MUNGU akujazie muda wa maongezi wa wiki moja kwenye hiyo simu unayoitumia kutuhabarisha , AMEN .
 
Anamhutubia nani wakati wananchi wa mpada kawanyanyasia mbunge wao ni sawa na mtu anamroga mwanao halafu anakuja msibani kukupa pole huyu mtu hafai kabisa.

mbunge wao pimbi sana bana ...hakuna analojua anafuata mkumbo tu wa akina Zitto...yule Alfi alijua akijiuzuru ataleta mpact kubwa sana sasa wenzie wamemtazama tu wala hawajahangaika naye....hahaaa alfi usifanye hivi bana
 
kama kawaida makamanda,watu wamejaa sana katika viwanja vya kashaulili.mbowe anasubiriwa kutua na chopa. Chopa ndo limefika yupo lema,mnyika na mbowe,watuwanashangilia sana.mbunge wa mpanda mjini kakimbia mkutano,sasa ni zamu ya mwenyekiti wa kanda kuhutubia,lema anashangiliwa sana.Lema kapanda jukwaani na anashangiliwa sana.Anaanza kwa kusema kuwa arusha hakuna ccm.anawashangaa watu wa mpanda kwa kuendelea kukumbatia chama cha majambazi.anasema kuhusu zitto,kadi yake ipo mahakamani.amemuona kijana aliyezuiliwa na zito kugombea ubunge jimbo la pinda.anasema zambi kubwa duniani ni uoga.Anasema kama uliingia chadema kwa kumfuata zitto basi ondoka nae mkaanzishe chama chenu.anasema yeye arusha ni raisi.anasema zitto alikodisha bodaboda ili zimpokee kigoma,na wala sio wanachama.Kapanda mnyika,anashangiliwa sana.anasema pinda ni mzigo,pinda jimboni kwake wananchi hawamtaki,ameshindwa kuwatimizia yale aliyowaidi.anazungumzua kuhusu arfi,alipopewa umakamo mwenyekiti akusema kuhusu ubaguzi.

picha mkuu vipi?magamba yakiona tu picha yanajamba cheche.
 
unaandika ubwabwa mwaka huu mtakimbiana tu ngoja zitto naye aanze mambo yake mtaisoma tu.
Mmeshamuwezesha? kawatia hasara ya milioni ngapi vile kuihujumu chadema, bado tu mnataka kumpa pesa tena akaaibike, mtaingia hasara sana na huyo zitto wenu lakini mtashindwa.
 
Vp, mnatumia usafiri gani kuwaleta wafuasi wenu kwenye mikutano! aah, ina maana wanakuja wenyewe? Haiwezekani, bila ubwabwa....
 
Anamhutubia nani wakati wananchi wa mpada kawanyanyasia mbunge wao ni sawa na mtu anamroga mwanao halafu anakuja msibani kukupa pole huyu mtu hafai kabisa.

acha ujinga je una uhakika na unayo yasema?
 
Maccm mnakazi ya ziada mwaka huu na mizigo yenu mawaziri mizigo Jk naya mzigo yupo uswisi anakula bata
 
Anamhutubia nani wakati wananchi wa mpada kawanyanyasia mbunge wao ni sawa na mtu anamroga mwanao halafu anakuja msibani kukupa pole huyu mtu hafai kabisa.

Mbunge mwenyewe msaliti wa mabadiliko,kawasaliti wananchi yake na sasa anaona aibu kujitokeza hadharani! atakuwa kagundua kuwa angedharilishwa na wananchi wake aidha kwa kuzomewa ndo maana kajificha.akafie mbali na cdm huyo mamluki!
 
kama kawaida makamanda,watu wamejaa sana katika viwanja vya kashaulili.mbowe anasubiriwa kutua na chopa. Chopa ndo limefika yupo lema,mnyika na mbowe,watuwanashangilia sana.mbunge wa mpanda mjini kakimbia mkutano,sasa ni zamu ya mwenyekiti wa kanda kuhutubia,lema anashangiliwa sana.Lema kapanda jukwaani na anashangiliwa sana.Anaanza kwa kusema kuwa arusha hakuna ccm.anawashangaa watu wa mpanda kwa kuendelea kukumbatia chama cha majambazi.anasema kuhusu zitto,kadi yake ipo mahakamani.amemuona kijana aliyezuiliwa na zito kugombea ubunge jimbo la pinda.anasema zambi kubwa duniani ni uoga.Anasema kama uliingia chadema kwa kumfuata zitto basi ondoka nae mkaanzishe chama chenu.anasema yeye arusha ni raisi.anasema zitto alikodisha bodaboda ili zimpokee kigoma,na wala sio wanachama.Kapanda mnyika,anashangiliwa sana.anasema pinda ni mzigo,pinda jimboni kwake wananchi hawamtaki,ameshindwa kuwatimizia yale aliyowaidi.anazungumzua kuhusu arfi,alipopewa umakamo mwenyekiti akusema kuhusu ubaguzi.
Asante sana wakazi wa kwetu Mpanda na viunga vyake kama kawajense, kasokola na katumba tuko pamoja kwa heshima yangu ndugu yenu wapokeeni wakombozi wa nchi...wakiongozwa na mkuu wa majeshi ya Anga kamanda Mbowe, natumai kesho watakuwa viwanja vya shule ya Msingi Kizwite au Ndua pale Sumbawanga mjini. M4C-Pamoja .......kama huwezi kuona shida itika Daima........
 
imagegif
imagegif
imagegif
imagegif
imagegif
imagegif
Masikini Dr Lilian Mtei.

naona una wivu sana,njoo basi hata kwangu nikuwowe roho yako iridhike!
 
Pamoja-Daima bila msamaha......

Heko Chadema...Songa mbele...Hakuna kurudi nyuma..
 
unaandika ubwabwa mwaka huu mtakimbiana tu ngoja zitto naye aanze mambo yake mtaisoma tu.

Ataanza mambo yake kwa kupitia chama gani....? Zitto haaminiki popote....Ni mtu anayeogopewa kila mahali........ Kwasasa Zitto is good for Nothing......Politically Dead and gone....
 
Back
Top Bottom