Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 139,172
- 276,399
Tunamshukuru sana MH LEMA kwa kuepusha KIPONDO kwa ndugu DC , maana ingekuwa fedheha kubwa sana ! Hiyo ndiyo raha ya kuwa na mbunge mwenye ushawishi kwenye eneo lake , ASANTE LEMA WEWE NDIYO TEGEMEO LA ARUSHA .