Recent content by Amanito

  1. Amanito

    Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Nimeishia Kusoma pale panaposema CID (Criminal investigation Department) ya Tanzania na FBI (Federal Bureau of Investigation) ya Marekani zinafanana.. Tunapenda sana stori za ujasusi ila hilo Tango pori hapana kwakweli
  2. Amanito

    Radio station za bongo vipindi vingi vimejaa ma chawa tu

    "Content creators" ni janga katika nchi yetu.. Hatuheshimu weledi na ujuzi wa watu!! Ruge Mutahaba alikuwa na uwezo wa kunusa "content" na kuiwasilisha kwa jamii.. Pia alikuwa mzuri wa kuunganisha vipaji na weledi katika kazi. Asa hivi hao watu hatuna katika media House zetu. Ni full...
  3. Amanito

    Wafamasia ni mzigo lazima wabadilike

    Huu mgogoro umeanza baada ya Waziri Ummy kufuta Programu ya ADDO. ADDO ni programu ambayo ilianzishwa na wizara ya Afya na kuwekwa chini ya Baraza la famasi kwa lengo la kutoa kozi fupi kwa wataalamu wa Afya ambao sio wafamasia lengo ni kuhakikisha wanapata uhalali wa kufungua na kuendesha...
  4. Amanito

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Ukitaka kujua haya mambo ya mgawanyo wa kimajukumu kwa kada zetu za afya yalivyokuwa changamoto, angalia Taasisi kubwa kama MSD kila siku malalamiko ufanisi wake ni mdogo. Ila kumbe watu wanaohusika na hiyo Taasisi hawana utaalamu wowote kuhusu mambo ya madawa sasa unategemea nini?? Hapa...
  5. Amanito

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Mimi nadhani labda "Professor" anatumia curriculum ya South Africa. Inabidi afanye mchakato wa kupitia upya mtaala wa Famasi wa Tanzania kisha ajiridhishe na hoja zake kuhusu majukumu ya Mfamasia katika Hospital setting hapa Tanzania
  6. Amanito

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Sasa "Professor" hiyo Pathophysiology tunasoma tena ndo msingi wa Mechanism of Action (MOA) ya dawa yoyote ile utakayojifunza ukiwa chuoni. Hizo nimezitaja zile basics tu ambazo Mfamasia na Daktari wana share katika kujenga msingi wa ufahamu wa Tiba kwa binadamu. Baaada ya mwaka wa kwanza kila...
  7. Amanito

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    "Professor" naona hauna mtaala wa kozi ya Ufamasia katika makarabrasha yako!! Ufamasia ni zaidi ya ulivyoelezea hapo. General Pathology Anatomy Physiology Biochemistry Microbiology Basic Pharmacology Hizo course hapo juu vyuo vingi kwa semester 2 au 3 za mwanzo huwa zinatolewa kwa wanafunzi...
  8. Amanito

    Kwanini Game ya marudiano ya Tony Rashid imefanyika tena Tanzania ?

    Bongo Nyoso aisee!! Kweli mcheza kwao hutunzwa!
  9. Amanito

    Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

    Ndo maana Senegal wana taji la ubingwa wa Soka Afrika.. Na kwa sasa ndo team yenye mchezaji bora kabisa duniani!! (Sadio Mane) achilia mbali wachezaji wake wengine katika ligi bora barani Ulaya Ukileta magumashi huku chini katika kujenga msingi imara uta ambulia mafanikio ya muda mfupi tu ila...
  10. Amanito

    TANZIA Dkt. Casper Haule wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afariki dunia

    Doh.. RIP Surgeon!! Poleni sana staff wa MOT Muhimbili pale!!
  11. Amanito

    Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Ungeficha namba ya simu hiyo iliyotokea katika convo na DP ya Marriana. Humu pia sio sehemu salama na inaweza kukuletea matatizo mengine.
  12. Amanito

    Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

    Ivar the boneless!!
  13. Amanito

    Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

    Kuna DUKA LA DAWA MUHIMU (DLDM) na kuna duka la dawa "Pharmacy" Katika kuanzisha biashara ya kuuza dawa inabidi uwe specific ni aina gani ya Duka la dawa unahitaji kuanzisha..
  14. Amanito

    Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Drill ya askari mwenye silaha aliyekuwa Gadi ni haruhusiwi yaani ni marufuku kuruhusu mtu yeyote kumsogelea uelekeo wake bila kujitambulisha... "hapo hapo ulipo simama jitambulishe!!!" hii ni command yaani hata awe General Mabeyo lazima atii ndo mengine yafuate la sivyo anaruhusiwa kushoot...
  15. Amanito

    PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

    Drill ya askari mwenye silaha aliyekuwa Gadi ni haruhusiwi yaani ni marufuku kuruhusu mtu yeyote kumsogelea uelekeo wake bila kujitambulisha... "hapo hapo ulipo simama jitambulishe!!!" hii ni command yaani hata awe General Mabeyo lazima atii ndo mengine yafuate la sivyo anaruhusiwa kushoot...
Back
Top Bottom