Wafamasia ni mzigo lazima wabadilike

Wafamasia ni mzigo lazima wabadilike

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,332
Reaction score
5,843
Kunradhi kwa kichwa cha uzi huu.Lengo ni kujaribu kuwaonyesha hawa watu wanaojaribu kupigania maslahi yao binafsi sana kwa kupambana na kila mtu anayeshika dawa wakidhani wao ni miungu wa hizo dawa,lakini wakiwa wazembe mno katika kuwajibikia jamii ambayo tulitarajia wailinde kwa taaluma yao.

Utendaji kazi wao

Mara zote ni watu wa mwisho kuingia kazini na watu wa kwanza kutoka kazini.
Ni watu wenye ego na hawapendi kukosolewa.
Wanajua sana katika kuongea lakini ukija katika utendaji kuna vitu vingi hawavifahamu.Mfano ukiwa hospitali wanaweza kukuagizia nyuzi za kushonea macho na wakakupa ushonee mama aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi( caesarean section)
Sio watu makini na wanapofanya makosa husingizia watu waliochini yao ambao kimsingi wamewatelekezea kazi.

Hawajui kutengeneza dawa.
Wakikusimulia jinsi dawa inavyotengenezwa,unaweza kuamini kuwa wanafahamu na ni kazi yao.Na wanadai hiyo ndiyo kazi yao ya msingi.
Hata hivyo mimi ninawaona kama wachambuzi wa mpira.Unaweza kudhani wanafahamu sana kucheza na ukiwapanga uwanjani watacheza,lakini kusema kweli wanajua maneno zaidi kuliko kazi.Ukitaka kuthibitisha hilo,angalia tu katika watengenezaji hata wa dawa za kawaida tu,ni mfamasia gani katika eneo lako anatengeneza hata panadol?
Viwanda vya dawa kuna wataalamu wengi mbali mbali wakiwemo madaktari,wakemia,na hao wafamasia na hivyo siyo jukumu lao peke yao bali ni matokeo ya timu ya wataalamu wakiwemo wataalamu wa Bioteknolojia na Wahandisi wa vinasaba.
Hawa watu hawawezi hata kutengeneza dawa za kusafishia vidonda badala yake nchi inaagiza nje kwa gharama kubwa sana.

Wengi ni wababaishaji.

Ukienda katika maduka ya dawa,utagundua kuwa wao ndio wanaosimamia kutolewa kwa vibali na kufanya ukaguzi wa maduka ya dawa.
Huku kuna ubabaishaji mkubwa sana.Kwanza wanamaduka ya jumla ambayo kwa sifa sio lazima wauzaji wa maduka hayo wawe wamesomea dawa.Utakuta mfamasia awametundika cheti ili mmiliki asibughudhiwe na wakaguzi,lakini wauzaji wanauza dawa kwa kila mtu.Wakishamuuzia kila mtu wanakuja kulalamika kuwa dawa zinauzwa kiholela mtaani.Je hawa wanaoziuza wanazipata wapi?Wao wana majibu rahisi sana,eti kuna njia za panya nyingi sana!
Ukweli ni kwamba wengi ni wababaishaji,walevi na wasiojitambua.

Hawana maadili katika mavazi na hata mwonekano.Hawakemei uhuni katika mavazi na mwonekano.
Ni kawaida tu kukuta mfamasia amevaa kama msanii wa bongo fleva na amenyoa kiduku na midevu miingi kama mpiganaji wa talebani huku anahudumia wagonjwa.Siyo rahisi kukuta Daktari ama Muuguzi yuko katika hali hiyo.

Ni kada wasiopendana wao kwa wao na wamejaa ubinafsi mkubwa sana.
 
Mpaka huu mtanange unaisha tutaskia mengi. midevu kama mpiganaji wa Taliban.....hahaaaaaaa. Hatari sana.....kwenu wafamasia.....
 
MABIFU YA BONGO FLEVA SASA YAMEINGIA KWA WANATAALUMA.
HII NCHI INA LAANA SIO BURE.
 
Piganeni ila msiumize wagonjwa tu.

Hii vita niya kimaslahi wala sio utaalamu ama uwezo wa kitaaluma.

Kuna madaktari njaa wameona fursa kwenye madawa..ila kikwazo ni wafamasia so wanaona waanzishe vita na wafamasia ili nao wapate ulaji.

Madaktari njaa nawaonya acheni upuuzi huo kaeni ospitali mtibu wagonjwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi huu mgogoro mzizi wake hasa ninini? maana naona kila mtu anatiririka kwa hoja nyepesi sana.
Njaa mbaya sana..inawatesa madaktari wengi nchini hivyo kilichobaki ni kuanza kupoka fursa ndani ya kada za afya..zenye umatemate.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kunradhi kwa kichwa cha uzi huu.Lengo ni kujaribu kuwaonyesha hawa watu wanaojaribu kupigania maslahi yao binafsi sana kwa kupambana na kila mtu anayeshika dawa wakidhani wao ni miungu wa hizo dawa,lakini wakiwa wazembe mno katika kuwajibikia jamii ambayo tulitarajia wailinde kwa taaluma yao.

Utendaji kazi wao

Mara zote ni watu wa mwisho kuingia kazini na watu wa kwanza kutoka kazini.
Ni watu wenye ego na hawapendi kukosolewa.
Wanajua sana katika kuongea lakini ukija katika utendaji kuna vitu vingi hawavifahamu.Mfano ukiwa hospitali wanaweza kukuagizia nyuzi za kushonea macho na wakakupa ushonee mama aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi( caesarean section)
Sio watu makini na wanapofanya makosa husingizia watu waliochini yao ambao kimsingi wamewatelekezea kazi.

Hawajui kutengeneza dawa.
Wakikusimulia jinsi dawa inavyotengenezwa,unaweza kuamini kuwa wanafahamu na ni kazi yao.Na wanadai hiyo ndiyo kazi yao ya msingi.
Hata hivyo mimi ninawaona kama wachambuzi wa mpira.Unaweza kudhani wanafahamu sana kucheza na ukiwapanga uwanjani watacheza,lakini kusema kweli wanajua maneno zaidi kuliko kazi.Ukitaka kuthibitisha hilo,angalia tu katika watengenezaji hata wa dawa za kawaida tu,ni mfamasia gani katika eneo lako anatengeneza hata panadol?
Viwanda vya dawa kuna wataalamu wengi mbali mbali wakiwemo madaktari,wakemia,na hao wafamasia na hivyo siyo jukumu lao peke yao bali ni matokeo ya timu ya wataalamu wakiwemo wataalamu wa Bioteknolojia na Wahandisi wa vinasaba.
Hawa watu hawawezi hata kutengeneza dawa za kusafishia vidonda badala yake nchi inaagiza nje kwa gharama kubwa sana.

Wengi ni wababaishaji.

Ukienda katika maduka ya dawa,utagundua kuwa wao ndio wanaosimamia kutolewa kwa vibali na kufanya ukaguzi wa maduka ya dawa.
Huku kuna ubabaishaji mkubwa sana.Kwanza wanamaduka ya jumla ambayo kwa sifa sio lazima wauzaji wa maduka hayo wawe wamesomea dawa.Utakuta mfamasia awametundika cheti ili mmiliki asibughudhiwe na wakaguzi,lakini wauzaji wanauza dawa kwa kila mtu.Wakishamuuzia kila mtu wanakuja kulalamika kuwa dawa zinauzwa kiholela mtaani.Je hawa wanaoziuza wanazipata wapi?Wao wana majibu rahisi sana,eti kuna njia za panya nyingi sana!
Ukweli ni kwamba wengi ni wababaishaji,walevi na wasiojitambua.

Hawana maadili katika mavazi na hata mwonekano.Hawakemei uhuni katika mavazi na mwonekano.
Ni kawaida tu kukuta mfamasia amevaa kama msanii wa bongo fleva na amenyoa kiduku na midevu miingi kama mpiganaji wa talebani huku anahudumia wagonjwa.Siyo rahisi kukuta Daktari ama Muuguzi yuko katika hali hiyo.

Ni kada wasiopendana wao kwa wao na wamejaa ubinafsi mkubwa sana.
Mfamasia anayetengeneza dawa, hutakutana naye hospitali au kwenye Duka la Dawa, atakuwa kiwandani. Nyuzi ya kumshona Mzazi, haiagizwi na mfamasia, bali tabibu au mkunga na sio Kwa mdomo Bali kukuandikia cheti maalum, sasa ukipewa tofauti na hapo, basi kuna tatizo.
 
Acheni maneno kila mtu ale kutokana na nafasi yake,mfamasia ale dawa zake na doctors wale pesa za magumashi za surgery na takataka nyingine.
Ila wafamasia Inaonekana wanapiga mashuti ya mbali c mchezo😄
Doctors tuwe wapole tu
 
Hivi huu mgogoro mzizi wake hasa ninini? maana naona kila mtu anatiririka kwa hoja nyepesi sana.
Huu mgogoro umeanza baada ya Waziri Ummy kufuta Programu ya ADDO.

ADDO ni programu ambayo ilianzishwa na wizara ya Afya na kuwekwa chini ya Baraza la famasi kwa lengo la kutoa kozi fupi kwa wataalamu wa Afya ambao sio wafamasia lengo ni kuhakikisha wanapata uhalali wa kufungua na kuendesha biashara ya Dawa muhimu maeneo ambayo yapo mbali na miji.

Kwa mantiki hii, daktari nesi au hata mtaalamu wa lishe walikuwa na uwezo wa kuendesha biashara hii ya dawa muhimu. Hili lilifanyika kwasababu wataalamu wa dawa ambao ni watu wa kada ya Famasi hawakuwa wengi kwa kipindi hiko na upatikanaji wa dawa ulikuwa unahitajika sana.

Ila kwa sasa kuna wataalamu wengi wa kada ya Famasi na hakuna haja ya kuendelea kuwanyima haya majukumu yao ya msingi wa kusimamia dawa.

Waziri alitoa takwimu bungeni wakati anatangaza kufuta ADDO kwa maana sasa hivi wataalamu wa dawa wapo wengi.

Hapo ndipo mzozo ulipo anza, Manesi na madaktari ambao zamani walikuwa wana ruhusiwa kufanya biashara ya dawa kwa sasa hawatoruhusiwa tena. Na wao wanaona hiyo sio sawa kwasababu wao pia wana uelewa juu ya dawa kwanini wazuiwe??

Kwahiyo huu mzozo ni kutaka biashara ya dawa isiwe exclusiva right ya MFAMASIA pekee sababu hata wao dawa wanazijua na hakuna haja ya kuwapa mafunzo maalum ila waruhusiwe kufanya hiyo biashara kama wataalamu wa afya tu.
 
Kunradhi kwa kichwa cha uzi huu.Lengo ni kujaribu kuwaonyesha hawa watu wanaojaribu kupigania maslahi yao binafsi sana kwa kupambana na kila mtu anayeshika dawa wakidhani wao ni miungu wa hizo dawa,lakini wakiwa wazembe mno katika kuwajibikia jamii ambayo tulitarajia wailinde kwa taaluma yao.

Utendaji kazi wao

Mara zote ni watu wa mwisho kuingia kazini na watu wa kwanza kutoka kazini.
Ni watu wenye ego na hawapendi kukosolewa.
Wanajua sana katika kuongea lakini ukija katika utendaji kuna vitu vingi hawavifahamu.Mfano ukiwa hospitali wanaweza kukuagizia nyuzi za kushonea macho na wakakupa ushonee mama aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi( caesarean section)
Sio watu makini na wanapofanya makosa husingizia watu waliochini yao ambao kimsingi wamewatelekezea kazi.

Hawajui kutengeneza dawa.
Wakikusimulia jinsi dawa inavyotengenezwa,unaweza kuamini kuwa wanafahamu na ni kazi yao.Na wanadai hiyo ndiyo kazi yao ya msingi.
Hata hivyo mimi ninawaona kama wachambuzi wa mpira.Unaweza kudhani wanafahamu sana kucheza na ukiwapanga uwanjani watacheza,lakini kusema kweli wanajua maneno zaidi kuliko kazi.Ukitaka kuthibitisha hilo,angalia tu katika watengenezaji hata wa dawa za kawaida tu,ni mfamasia gani katika eneo lako anatengeneza hata panadol?
Viwanda vya dawa kuna wataalamu wengi mbali mbali wakiwemo madaktari,wakemia,na hao wafamasia na hivyo siyo jukumu lao peke yao bali ni matokeo ya timu ya wataalamu wakiwemo wataalamu wa Bioteknolojia na Wahandisi wa vinasaba.
Hawa watu hawawezi hata kutengeneza dawa za kusafishia vidonda badala yake nchi inaagiza nje kwa gharama kubwa sana.

Wengi ni wababaishaji.

Ukienda katika maduka ya dawa,utagundua kuwa wao ndio wanaosimamia kutolewa kwa vibali na kufanya ukaguzi wa maduka ya dawa.
Huku kuna ubabaishaji mkubwa sana.Kwanza wanamaduka ya jumla ambayo kwa sifa sio lazima wauzaji wa maduka hayo wawe wamesomea dawa.Utakuta mfamasia awametundika cheti ili mmiliki asibughudhiwe na wakaguzi,lakini wauzaji wanauza dawa kwa kila mtu.Wakishamuuzia kila mtu wanakuja kulalamika kuwa dawa zinauzwa kiholela mtaani.Je hawa wanaoziuza wanazipata wapi?Wao wana majibu rahisi sana,eti kuna njia za panya nyingi sana!
Ukweli ni kwamba wengi ni wababaishaji,walevi na wasiojitambua.

Hawana maadili katika mavazi na hata mwonekano.Hawakemei uhuni katika mavazi na mwonekano.
Ni kawaida tu kukuta mfamasia amevaa kama msanii wa bongo fleva na amenyoa kiduku na midevu miingi kama mpiganaji wa talebani huku anahudumia wagonjwa.Siyo rahisi kukuta Daktari ama Muuguzi yuko katika hali hiyo.

Ni kada wasiopendana wao kwa wao na wamejaa ubinafsi mkubwa sana.
Hivi kila engineer anasuka mashine?

Au kila mwanamuziki ana bendi yake?

Jifunzeni maana ya kuzalisha dawa… it is an industry ambayo inahitaji wanaayansi wengi, financing, compliance na sheria za uzalishaji, business analysis, etc

Kiwanda sio kama Uber au bodaboda
 
Huu mgogoro umeanza baada ya Waziri Ummy kufuta Programu ya ADDO.

ADDO ni programu ambayo ilianzishwa na wizara ya Afya na kuwekwa chini ya Baraza la famasi kwa lengo la kutoa kozi fupi kwa wataalamu wa Afya ambao sio wafamasia lengo ni kuhakikisha wanapata uhalali wa kufungua na kuendesha biashara ya Dawa muhimu maeneo ambayo yapo mbali na miji.

Kwa mantiki hii, daktari nesi au hata mtaalamu wa lishe walikuwa na uwezo wa kuendesha biashara hii ya dawa muhimu. Hili lilifanyika kwasababu wataalamu wa dawa ambao ni watu wa kada ya Famasi hawakuwa wengi kwa kipindi hiko na upatikanaji wa dawa ulikuwa unahitajika sana.

Ila kwa sasa kuna wataalamu wengi wa kada ya Famasi na hakuna haja ya kuendelea kuwanyima haya majukumu yao ya msingi wa kusimamia dawa.

Waziri alitoa takwimu bungeni wakati anatangaza kufuta ADDO kwa maana sasa hivi wataalamu wa dawa wapo wengi.

Hapo ndipo mzozo ulipo anza, Manesi na madaktari ambao zamani walikuwa wana ruhusiwa kufanya biashara ya dawa kwa sasa hawatoruhusiwa tena. Na wao wanaona hiyo sio sawa kwasababu wao pia wana uelewa juu ya dawa kwanini wazuiwe??

Kwahiyo huu mzozo ni kutaka biashara ya dawa isiwe exclusiva right ya MFAMASIA pekee sababu hata wao dawa wanazijua na hakuna haja ya kuwapa mafunzo maalum ila waruhusiwe kufanya hiyo biashara kama wataalamu wa afya tu.
Ni mojawapo ya programu ya ovyo sana kuwahi kutokea ikizingatiwa kuwa Afya ni suala la msingi sana katika maisha na ustawi wa binadamu.
 
Madaktari wa bongo bhana utasikia tunajua dawa 😁😁si kila mtu abaki na utaalamu wake we si ulienda kusoma miaka 5 ututibu
 
Njaa mbaya sana..inawatesa madaktari wengi nchini hivyo kilichobaki ni kuanza kupoka fursa ndani ya kada za afya..zenye umatemate.

#MaendeleoHayanaChama
Nakupa pole tu kwa vile hujui unachokisema
 
Back
Top Bottom