PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Yaani Hawa ndugu zetu huwa wanawaza kutoboa maisha yao kwa kudhulumu,kuwalinda illegal dealers traders, drug dealers,yaani hela ya bure jamaa wanaipenda Sana.
Binafsi Kama mwanaume umeumia umepata chako afu msenge anakuja kukichukua k.v naye amehusika kukivujia jasho ni kufa naye.
Hawa jamaa na tra wanaudhi Sana.
Tra walimtoa mzee wangu since 1995 like 2+M mpaka Leo nakumbuka msala ule.
 
Jamani hamza ni gaidi msilete story eti za kuzulumiwa dhahabu, huyo ni gaidi wa jihad
Gaidi amefanya Nini. Why aue Askari tu na ni kwa Nini alikuwa anawapita raia wa kawaida.
Sema hujui uchungu wa kupigana like 10yrs above afu msenge anakuja kuchukua mavuno yako yote ya 10 yrs uanze zero Tena.
Ni Kama uwe na degree afu ghafula mtu anaosha kichwa chako unarudi kuwa zero ndo uanze naseri. Utakubali kweli
 
Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako.

Hii habari kama haijapikwa, basi kama ni kweli ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia, wadau wanasema kaacha dona kizembe sana.

Hizo nguvu za kukimbia ni bora angejihami, mbinu bora ya kujilinda ni kushambulia any way RIP wazee, acheni tamaa.
Drill ya askari mwenye silaha aliyekuwa Gadi ni haruhusiwi yaani ni marufuku kuruhusu mtu yeyote kumsogelea uelekeo wake bila kujitambulisha... "hapo hapo ulipo simama jitambulishe!!!" hii ni command yaani hata awe General Mabeyo lazima atii ndo mengine yafuate la sivyo anaruhusiwa kushoot.

Askari upo Gadi mtu mwenye muonekano ule wa Hamza ambaye kwa jamii yetu tulivyo aminishwa watu wa Somalia ni very extremists, askari wetu waliruhusu vipi kusogelewa karibu kiasi cha kushambuliwa.

Hamza alikuwa na Pisto (shotgun) alihitaji kuitoa sehemu alipoweka kama ni kiunoni au wapi God knows, kisha aanze kushoot askari wawili kwa mpigo!!! Tena askari wenye assault Riffle sub machine gun (SMG) kwa haraka na kuwadhuru bila yeye kujeruhiwa!! Huyu Hamza atakuwa ni Ranger marksman mzuri sanaaa!!

Hili tukio lina questions Marks?? nyingi sanaaa.. Wahusika wawe makini katika kutoa taarifa aisee
 
Anaandika Christopher Cyrilo.
___

PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza.

Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.

Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.

Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.

Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.

Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.

Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.

Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani!

PIA SOMA:

- Kinondoni, Dar: Mtu asiyejulikana, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi
Daaah so sad huyo police namfahamu vizuri nimesoma naye Airwing nyumbani kwao ni ukonga Moshi bar
 
Imebakia hapa nyamongo maana polisi wanachukuwa tu vitu vya watu hasa mawe ya dhahabu kwa watu huku wakisema yametoka mgodini halafu Cha ajabu wao wanaenda kuuza bila kuyapeleka kituoni, hii michezo michafu na kupenda rushwa na madili ya kupata hela haraka kama askari wa Kenya italigharimu hili jeshi la polisi
 
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mamkubwa wa baba yenu wawasaidie
 
Walituzulumu madini ya milioni 40.
Wakataka rushwa tukawapa laki 4 pesa wakalamba na madini wakalamba pia.
Hizi dhuluma thus wanakufa vibaya.
Chukua kidogo mwachie na mwenzio apate pa kuanzia.
Sio wewe tu ndo una shida na pesa.
Wengine umuachia Mungu, wengine uenda kuloga,hii staili ya hamza ni mpya.
Sisi tulimuachia Mungu.
 
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mamkubwa wa baba yenu wawasaidiemuda sana ila vijana wengi
sasa iv kule sasa ivi wamepoa sana ila polisi ndo tabia zao
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mam
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu wai

Walituzulumu madini ya milioni 40.
Wakataka rushwa tukawapa laki 4 pesa wakalamba na madini wakalamba pia.
Hizi dhuluma thus wanakufa vibaya.
Chukua kidogo mwachie na mwenzio apate pa kuanzia.
Sio wewe tu ndo una shida na pesa.
Wengine umuachia Mungu, wengine uenda kuloga,hii staili ya hamza ni mpya.
Sisi tulimuachia Mungu.
Pole sana mkuu hawa polisi Mimi ninajua michezo yao halafu hayo madini wala huwa hawayapeleki kituoni wala kuyarudisha mgodini ila ipo siku yao
 
Walituzulumu madini ya milioni 40.
Wakataka rushwa tukawapa laki 4 pesa wakalamba na madini wakalamba pia.
Hizi dhuluma thus wanakufa vibaya.
Chukua kidogo mwachie na mwenzio apate pa kuanzia.
Sio wewe tu ndo una shida na pesa.
Wengine umuachia Mungu, wengine uenda kuloga,hii staili ya hamza ni mpya.
Sisi tulimuachia Mungu.
Poleni sana.
 
Kumbe wewe ni wa boomgate. Huko nyamongo vijana wa nyamongo wamekula chipsi Sana. Hebu waiteni watt wenu wa mamkubwa wa baba yenu wawasaidie
Mkuu hawa mziki wa huku hawauwezi sema tu ni vile watu wanaamua kuacha vitu moyoni ili maisha mengine yaendelee maana ukichukuwa maamuzi ya kiume ndo inakuwa kama hamza tena ila raia wengi Wana malalamiko juu ya hili jeshi kikubwa wabadilike tu
 
Anaandika Christopher Cyrilo.
___

PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza.

Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.

Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.

Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.

Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.

Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.

Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.

Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani!

PIA SOMA:
- Kinondoni, Dar: Mtu asiyejulikana, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi
Dah Ema rafiki yangu sana , sitamsahau kwa ushauri wake. Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom