Ingekuwa wanaokuja kwenye mikutano ndo watakao piga kura angeshinda ,tatizo ni kwamba wanakuja kukushangaa kwenye mikutano ila kwenye kupiga kura huwaoni unabaki oh nimeibiwa kura
Sioni tofauti mkuu sasa naona wanajaribu kumbadilisha kenge kuwa samaki kwamba keshotoka nchi kavu kaingia majini kwamba haruhusiwi tena kutoka majini vinginevyo amuone papa ampe viza
Unazungumzia kipindi tumetoka kupata uhuru nionavyo mimi b4 tanzania ikombolewe ikombolewe kwanza chadema kutoka mikononi mwa familia kiwe chama huru cha wanachama
Ndio kukishakuwa na uhuru huko tutapata viongozi bora sio wa kung'ang'ania madaraka achaguliwe mtu kwa uwezo wake sio unataka uhuru kwenye Taifa wakati ndani ya chama hakuna uhuru
Wanaomwita rais mshamba kwa kukemea watembea uchi ni mambumbumbu kaabisa tena wapumbavu msiejua mmetoka wapi! Ni wapi mlipo! Na mnakwenda wapi? Na wengi wenu ni nyie mnaenda club na watoto wenu,binti zenu dada zenu na mnazini nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.