Mavazi ya wasanii kwenye video sio tatizo, tatizo ni ushamba wa viongozi wetu

Wanaomwita rais mshamba kwa kukemea watembea uchi ni mambumbumbu kaabisa tena wapumbavu msiejua mmetoka wapi! Ni wapi mlipo! Na mnakwenda wapi? Na wengi wenu ni nyie mnaenda club na watoto wenu,binti zenu dada zenu na mnazini nao
 
Kwahiyo mwaka 1500 mlikua na viwanda vya kusokota nyuzi na kutengeneza magauni?, au mlikua mnavaa magauni ya majani? Hamna ustaarabu wowote, nanyi mlikua mnatembea matako wazi na kutwa kucha kucheza ngoma, kunywa pombe na kuzaliana kwa kasi.
jiulize nguo zilianza kuvaliwa lini ndio ulete hii hoja yako mfu maana hata kama za ngozi na kusokota nyuzi hakukuanza leo kama unavyodhani wewe .
soma historia ya viwanda vya nguo ukiweka maanani pwani karibia zote za east afrika zilikywa ni business centre no need ya kiwanda kupata nguo wastaraab wa pwani walijifunga kaniki na marikani kama wazijua hizo garment!
 
Ishu hapa sio uafrika swala hapa ni kuwa katika nchi masikini kama tanzania unakuta Baba,mama mkwe ,mkeo;watoto,housegirl,mjomba,wote mmebanana sebureni kuangalia TV,BONGO MOVIE,SHILAWADU,ZARI WHITE PARTY;TIGO FIESTA;sasa hapo unafikiria nini?

MWANAUME Unaposhabikia wanawake kuacha maungo yao wazi eti ni globalization ;nina wasiwasi kama na wewe utakuwa bado una sauti ya kiume au unaongelea puani kama una mafua ya ndege.

Wewe kama unataka kuona ujinga download porn ukaangalizie chumbani,ujifurahishe nafsi na utendawazi wako,lkn wenye ''Watoto wanaumia sana'' KAZI YA MTOTO NI KUSOMA TU. na sio kuwa ''manipulated na utandawazi!
 
Wavae hijabu?Kwani wana ukoma,matende,goko zao zimepinda kwa matege,webabuka ngozi au ni nini hasa kimewasibu?Kwani hapa ni Iran kwa Ayatollah? Another mshamba.This is a free world weye! Hijabu akuvalie mkeo.
Tunabishana Nini We Karekod Uko Uchi Uone Kama Hujawah Kuingia Keko Maana Shishi Anawapumbaza Akili Ye Anapga Ela Nyie Mnaiga U Will Suffer My Dear
 
Huwezi kufananisha enzi za ukoloni na sasa, kipindi hicho watu walivaa magome na kuwa nusu uchi kwa sababu hakukuwa na alternative nyingine ya kuweza kufunika mwili mzima yaani ulikuwa huwezi kupata gome linaloweza kufunika mwili mzima lakini sio sasa, kama tunataka turudi kwenye tamaduni zetu za kuvaa nusu uchi basi turudi kwenye kuvaa magome na si kuvaa G-string kama sasa maana G-string huwezi fananisha na gome katika uvaaji wake.
Huwezi kutumia uhalali wa zamani kuhalalisha ujinga huu unaofanywa kwa sasa, haukubaliki kabisa, ingawa natofautiana kwa mambo mengi na Magufuli lakini kwa hili namuunga mkono ikiwezekana kuwe na sheria ya mavazi kabisa ya kuvuia watu kuvaa nusu uchi maana hii inachochea ubakaji na kuondoa heshima ya mtu
 
Si tu kabla ya ukoloni, hata leo hii kuna makabila hapa Afrika yanayotembea uchi, mfano kuna moja ya makabila yanayokaa porini sana huko Sudan ya kusini.
Umesema yanakaa porini lakini hayajawahi kukaa kwenye TV, we huoni utofauti ya unachokisema na Magu anachokisema?
 
Acha upashkuna.Wahadzabe na Wabarbaig wanavaaje?
Si ajabu unasikia kutoka kwa watu na kama umewaona wanavyovaa basi ni wewe na baadhi tu, lakini hawa ambao wanaonekana kwenye maTV wanaonekana na watu wangapi? Kuvaa kwenu uchi kusiwe ni sababu ya kutuharibia jamii ya watu waliostaarabika
 
Umesema yanakaa porini lakini hayajawahi kukaa kwenye TV, we huoni utofauti ya unachokisema na Magu anachokisema?
Hivi kuna mtu anayekaa kwenye TV kweli?! Au wewe unakaa kwenye TV?! Kweli hizi ndio alili za wale wale wenye kutoa maagizo.
 
usasa mbona hamtembelei mikono badala ya miguu!! Kongole kwa raisi magufuri kwa kupiga vita picha za uchi ...vijana wangapi Leo hii wamekuwa mateja wa puli na kujichua kutokana na hiyo mnayoita "globalization" kwa nini mwanamke awe ni kiumbe dhwalili ktk huu uso wa dunia? hivi na waislamu pia mtampinga raisi kwa hili? Wallah Mimi ni muislamu wa kwanza kusema hadharani na kumuunga mkono raisi wetu ktk hii vita ....mtu anaangalia mziki sijui ndo diamond Mara kamshika kiuno mwanamke aliyevaa chupi tu sa ndo nini? maadili kwanza siasa baadae
Uisilamu sio utamaduni wa mwafrika. Huo umerithishwa na mwarabu afu we jitu black
 
Nchini Swaziland kwa King Mswati mavazi wanayovaa ni nusu uchi kabisa tena mbele ya Mfalme wao mpaka matiti yakiwa nje na huo ndio utamaduni wa Mwafrika tangu kale,

Mfalme akienda haja kubwa kwenye highway nasi tunatakiwa kuiga ati kwakuwa hapo kale hapakuwa na vyoo vya mashimo
 
819715317fddf0cbeb7841506ad9238f.jpg
cbda607f9e2b9ff3cd91c9ca6b42cfdb.jpg
 
MAVAZI YA WASANII KWENYE VIDEO SIO TATIZO, TATIZO NI USHAMBA WA VIONGOZI WETU.

Majuzi nimewasikia Naibu Waziri Habari na Rais Magufuli wakikemea kuvaa nguo za utupu kwenye Video. Ukiwa Mshamba ni mshamba tu hata ungekuwa na cheo Ikulu, hata kama ungekuwa Profesa.

Nchini Swaziland kwa King Mswati mavazi wanayovaa ni nusu uchi kabisa tena mbele ya Mfalme wao mpaka matiti yakiwa nje na huo ndio utamaduni wa Mwafrika tangu kale, wazungu wamechukua kwetu na Leo mnafikiri tunawaiga wao. Mwanamke mvuto bila mwanamke kwenye kazi ya Sana'a mambo haya nogi na ndio maana ukiwa na mke unatamani awe mtupu muda wote ule maisha ya mahaba lakini utupu wa kwenye video ni wa maigizo tu kuvuta watazamaji na ndio maana hawaachii kila kitu.

Mziki ni mvuto na inategemea unafanya mziki wa aina gani na una lenga jamii gani, Mziki wa bongofleva ni mziki unaofikisha ujumbe kwa vijana na mavazi lazima yaendane na ujana, kama ni nyimbo za asili nazo zina mavazi yao na aina yake ya watazamaji, na ndio maana kuna vipindi tofauti redioni kulingana na rika, kama tunataka mziki wa kuuza uswahilini basi tusikilize ushamba lakini kama tunataka mziki wa kimataifa basi lazima twende na wakati na mazingira ya Globolaizesheni.

Kazi njema Viongozi wa Awamu ya Tano.

Deogratius Nalimi Kisandu.
25 Desemba 2017.
Kuna uhusiano gani kati ya Sana'a ya uimbaji and sexy? Utu thamani yake ni utu sio pesa tubadirishe mitazamo ya kimagharibu ya u can't push ur art if you are not sexy sioni faida ya kukaa uchi ili kunishawishi niupende wimbo wako hasa kwa hivi vidada vinavyorusha matako kama miguu ya punda let's art be art and not prostitution and art
 
MAVAZI YA WASANII KWENYE VIDEO SIO TATIZO, TATIZO NI USHAMBA WA VIONGOZI WETU.

Majuzi nimewasikia Naibu Waziri Habari na Rais Magufuli wakikemea kuvaa nguo za utupu kwenye Video. Ukiwa Mshamba ni mshamba tu hata ungekuwa na cheo Ikulu, hata kama ungekuwa Profesa.

Nchini Swaziland kwa King Mswati mavazi wanayovaa ni nusu uchi kabisa tena mbele ya Mfalme wao mpaka matiti yakiwa nje na huo ndio utamaduni wa Mwafrika tangu kale, wazungu wamechukua kwetu na Leo mnafikiri tunawaiga wao. Mwanamke mvuto bila mwanamke kwenye kazi ya Sana'a mambo haya nogi na ndio maana ukiwa na mke unatamani awe mtupu muda wote ule maisha ya mahaba lakini utupu wa kwenye video ni wa maigizo tu kuvuta watazamaji na ndio maana hawaachii kila kitu.

Mziki ni mvuto na inategemea unafanya mziki wa aina gani na una lenga jamii gani, Mziki wa bongofleva ni mziki unaofikisha ujumbe kwa vijana na mavazi lazima yaendane na ujana, kama ni nyimbo za asili nazo zina mavazi yao na aina yake ya watazamaji, na ndio maana kuna vipindi tofauti redioni kulingana na rika, kama tunataka mziki wa kuuza uswahilini basi tusikilize ushamba lakini kama tunataka mziki wa kimataifa basi lazima twende na wakati na mazingira ya Globolaizesheni.

Kazi njema Viongozi wa Awamu ya Tano.

Deogratius Nalimi Kisandu.
25 Desemba 2017.
Naheshimu uhuru wako wa kujieleza,lakini lazima utambue mwanamke kuonesha mapaja,tumbo,makalio,n.k.Sio maadili ya Kitanzania,nchi kama swaziland kwao ni sawa lakini Tanzania hapana,ni kama unavyosikia nchi nyingi za Magharibi zinavyoruhusu ndoa za jinsia moja ,lakini kwetu ni kinyume cha sheria.Tulidhike kuwaona wake zetu,na sio maungo ya wasanii wasio na staha
 
Tunabishana Nini We Karekod Uko Uchi Uone Kama Hujawah Kuingia Keko Maana Shishi Anawapumbaza Akili Ye Anapga Ela Nyie Mnaiga U Will Suffer My Dear
Tofautisha kubishana na kuambiwa ukweli.Hivi uchi ni nini? Uchi katika mwili wa binadamu unaanzia wapi na kuishia wapi?Au mwili mzima ni uchi?Inawezekana unang'ang'aniza kitu ambacho hakieleweki mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom