MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Geuka nyuma utaskia nakupumuliaUmeibukia wapi wewe?
Geuka nyuma utaskia nakupumuliaUmeibukia wapi wewe?
Zile cctv kwanini mmezing'oa.shirikisha ubongo ndugu ...serikali haija mpa mafunzo mtu miaka jinsi ya kushika bunduki na kutumia halafu huyo mtu akaenda kutumia risasi zaidi 30 kwa mtu aliye mbele ya macho yake amka ndugu kesi hii ipo wazi sana ndio maana chadema walikimbiza ushahidi wote nchi jirani. Subiri huyo mgonjwa apate akili zake timamu za kulitafakari hili jambo lote ndio atajua kikulacho kinguoni mwake.
Duh, kumbe umezoea kupimuliwa eeenh? Manaake kila siku unawaza kupumuliwa ru.Geuka nyuma utaskia nakupumulia
Uwe mkweli,wewe na lisu nani kachanganyikiwa??Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Lisu.Uwe mkweli,wewe na lisu nani kachanganyikiwa??
Jikite kwenye hoja!Pumbavu ww
Jikite kwenye hoja!Pumbavu ww
Mama yangu hakuwahi kua mwalim ni mwanamke wa tano kupata CPA nafasi ya NNE baada ya Anna MakindaKihiyo ni mama yako maana alikuwa mwalimu wangu, lawama ni za mama yako, my teacher, primary school teacher! hakunifundisha maana naye alikuwa kihiyo. Mwalimu wangu kabisa
Ndezi hawawezi kujibu hili na askari kutokuwepo siku ya tukio,watarukaruka kama bisi mbovuZile cctv kwanini mmezing'oa.
...mbaffff sana nyie
Mmepoteza ushahidi
Jina lenyewe magonjwa mtambuka unategemea nini zaidi na yeye kutambukwa kwa nyumaDuh, kumbe umezoea kupimuliwa eeenh? Manaake kila siku unawaza kupumuliwa ru.
Nimekupata, jiepushe maneno ya matusi, kejeli unapomjibu mtu. Just hit the point. Hakuna haja ya vilaza, jinga, mpumbavu etc. Avoid those derogatory terms!Mama yangu hakuwahi kua mwalim ni mwanamke wa tano kupata CPA nafasi ya NNE baada ya Anna Makinda
Kwa hiyo unamaanisha wao kumficha dereva wa lissu ni kosa kisheria sio?Kwa kuzingatia mahali popote penye ulinzi ukitokea uhalifu wa kwanza kukamatwa na kuhojiwa ni walinzi,rejea baada ya yule major general kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake wa kwanza kukamatwa alikua mlinzi wake na yule teller aliyemuudumia Bank,kwahiyo hawa wanaoitetea serikali kuhusika kwake wanajua sema wanajitoa ufahamu
Usifikiri ni wewe peke yako unayeweza kuandika matusi. Ni kazi rahisi sana.Jina lenyewe magonjwa mtambuka unategemea nini zaidi na yeye kutambukwa kwa nyuma
Kwa nn cctv camera ziliondolewa siku kashambuliwa lissu ?Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Sasa unaniuliza mimi kwani nilikuwepo? Nenda kawaulize polisi watakujibu. Idiot.Kwa nn cctv camera ziliondolewa siku kashambuliwa lissu ?
Kwa siku hiyo hakukuwa na police hata mmoja while siku zote huwa wanalinda hizo nyumba ?
Acha ushabiki kwenye sensitive issues
Idiot
Kumbe akili unazo,sasa kwanini unajitoa ufahamu,wakati unaonekana ni MTU mwenye maono na hoja ila kwa LA Lisu umeamua tu kuvuruga akili zako kwa makusudiNimekupata, jiepushe maneno ya matusi, kejeli unapomjibu mtu. Just hit the point. Hakuna haja ya vilaza, jinga, mpumbavu etc. Avoid those derogatory terms!
By the way, CPA ni vitu vidogo, ila fani ya uhasibu waliamua kuwa restrict watu wasijazane. Kuna ugumu gani huko wa kuwashinda watu. Ni ukiritimba wa ngozi nyeusi na roho mbaya. Haya mambo ya arts huwa ni marais, there is no difficult concept to defeat a determined student to grasp! Kuna vitu vigumu, very difficult concept to comprehend by a student, mpaka leo watu, wanasayansi wakubwa wanabishana... Warping of spacetime, by Albert Einstein alileta science ya Special theory of relativity... vitu mpaka leo vinawachanganya watu. ... Have a nice day anyway. Enjoy your day!