Recent content by Aman1

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Faragha ya Edgar Lungu yasitishwa na Mahakama Kuu Afrika Kusini, baada ya Serikali ya Zambia kupeleka zuio mahakamani

    Marehemu kabla ya kufa alitoa wosia endapo atafariki, basi Rais Hichelema asithubutu kukanyaga kwenye mazishi/msiba wake. Familia inatekeleza maelekezo ya Marehemu enzi za uhai wake
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Kenya inaelekea kuwa failed state.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    DR Mambo Jambo Baba Swalehe Dr Lizzy Carlos The Jackal Herbalist Dr MziziMkavu Hebu msaidieni ndugu yetu huyo aepukane na fedheha hiyo
  4. A

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Haya yote yanafanyika ili kuwanufaisha na kuwafurahisha watawala huku familia zao zikiwa mbali na mabomu na risasi hizo. Hii dunia ina mambo ya hovyo sana, eti ninakubali kufa au kuua watu wasio na hatia kisa flani apate mali za kuendelea kula na ndugu zake huku mimi familia yangu ikiendelea...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

    DR SANTOS DR Mambo Jambo Dr Lizzy Dr. Wansegamila
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

    Mpira ni sayansi na uwekezaji, hayo majini yenu na ushetani wenu hauwezi fua dafu mbele ya mwenye timu bora. Wekezeni kwenye sayansi ya michezo kwa kusajili wachezaji bora, wataalamu wa utimamu wa mwili wa daraja la juu na kuboresha miundombinu ya uwanjani mtafanikiwa. Yanga na Simba zote...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

    Jf nzima ingekuwa na watu kama wewe hakika tungekuwa wamoja ktk kila kitu. Nimefuatilia hoja zako zinazogusa imani ya kiislamu, always huwa uko na hoja chanya zenye kujenga badala ya kugawana fito.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Dar: Gari kubwa ya mafuta inawaka moto Kimara

    Weka picha
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

    Baada ya kwangaru ya Harmonize kukosekana, basi list hiyo ni fake isipokuwa ngoma ya Darasa - muziki
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

    Kila la heri
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke

    Habari zenu wakuu. Sina maneno mengi bali; ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :33yrs Elimu: Shahada Rangi: Mweusi Dini: Mkristo Kimo: 178cm Sifa za mke 1. Umri: 25 -32 yrs 2. Elimu: kidato cha nne na kuendelea 3. Dini: Mkristo 4. Asiwe single mother Kama uko...
Back
Top Bottom