Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

Waruhusu na pigo za kiyahudi

Jewish_Orthodox_dress_code10.jpg
 
Hijab inaeleweka ni stara(sehemu ya vazi) kwa mwanamke. Kibagharashia kina umuhimu gani? Ifike hatua ndugu zangu katika imani tufanye mambo kwa logic.
Sioni haja ya kurasimisha hiyo kofia kichwani
Mimi ni MUISLAM.
Mkuu watu kama huyo mleta uzi ndio wanasababisha watu wananaukejeli uislamu
Lakini kwa kuheshimu maoni yako naomba huu uzi nisitie neno .
 
Hijab inaeleweka ni stara(sehemu ya vazi) kwa mwanamke. Kibagharashia kina umuhimu gani? Ifike hatua ndugu zangu katika imani tufanye mambo kwa logic.
Sioni haja ya kurasimisha hiyo kofia kichwani
Mimi ni MUISLAM.
Jf nzima ingekuwa na watu kama wewe hakika tungekuwa wamoja ktk kila kitu.

Nimefuatilia hoja zako zinazogusa imani ya kiislamu, always huwa uko na hoja chanya zenye kujenga badala ya kugawana fito.
 
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.

Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?

Serikali mnatuchanganya.
Upumbavu wa waafrika, badala ya kuhangaikia kutatua matatizo sugu yayotukabili, sisi tunahangaika na kufunika vichwa!
 
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.

Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?

Serikali mnatuchanganya.
Naam Sheikh
 
Halafu wanafunzi wakivaa hivyo vibaraghashia, watakuwa na akili zaidi? Au ndiyo muendelezo ule ule wa ujinga katika jamii?
 
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.

Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?

Serikali mnatuchanganya.
Hata sisi marasi hatutaki kunyolewa nywele na kwenye sare zetu tunataka tuwekewe picha ya bob marley ikinakishiwa na Peter tosh
 
Back
Top Bottom