Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

classic1988

Member
May 26, 2023
20
13
Habari madokta wa jamii.leo naomba kusaidia jambo Nina rafiki angu anaumwa sana fungus.

Imeanza miaka mitatu iliyopita,ulianzia kwenye korodani na Sasa Iko kwenye njia ya mkojo. Ametumia dawa nyingi sana na mbaya zaidi madaktari wamekuwa wengi na wamempa dawa nyingi na masindano ya kutosha kiufupi tatizo limekuwa chronic.

Anaomba msaa wa nn Cha kufanya kwani kwenye korodani bado zina msumbua na ndani ya uume zinamsumbua sana na muda mwingine hata uume wake unakuwa mwekundu.

Dawa alizotumia ninzokumbuka ni karibia zote zinazojulikana.ombi afanye nn au kama Kuna dawa ambayo ni ya kuaminika zaidi msaada plz
 
Amepima HIV
Tatizo alichokitolea ufafanuzi bado hakijawekwa sawa..

Bila kuona picha Itakuwa ni kufanya Ramli..
Pia hajataja Dawa alizotumia Mgonjwa ili tujue Ukubwa wa tatzo
mfano dozi ya syproxasin injection,sulbuctum injection na vidonge,amoxlav vidonge,fluconazole,intraconazole,azuma,dox,gysofluvin,naomba ushauri wako aidha hospital gang naweza kupata vipimo vya uhakika nkapata dawa
 
Namimi ninayo famgasi sugu, japo haikaingia ndani lakini pumb* zinakuwa nyekundu
Kama Ni izi fangas za kawaida za joto la Dar es salaam..

Best option

Choma/tupa/abandon nguo za ndani unazo zitumia then Replace with new one........
Pia taulo badilisha nunua jipya hakikisha private part zinakua katika good condition

Mimi Kuna hii sabuni SHOWER TO SHOWER GELL huniweka very smooth ngozi na mwili
Screenshot_20240322-233959.png
Screenshot_20240322-233927.png
 
Amepima HIV
Tatizo alichokitolea ufafanuzi bado hakijawekwa sawa..

Bila kuona picha Itakuwa ni kufanya Ramli..
Pia hajataja Dawa alizotumia Mgonjwa ili tujue Ukubwa wa tatzo
Samahani mm nasumbuliwa na miwasho sehemu ya njia ya mkojo na sehemu ya hajakubwa Kuna kama vitu vinachoma ,kibofu kinawasha kwa ndani na korodani **** kwa ndani .pia viungo vya mwili kuchoka na kuuma HaSA mgongo.nmeugua kwa mw mfano dozi ya syproxasin injection,sulbuctum injection na vidonge,amoxlav vidonge,fluconazole,intraconazole,azuma,dox,gysofluvin,naomba ushauri wako aidha hospital gang naweza kupata vipimo vya uhakika nkapata dawa

Kama Ni izi fangas za kawaida za joto la Dar es salaam..

Best option

Choma/tupa/abandon nguo za ndani unazo zitumia then Replace with new one........
Pia taulo badilisha nunua jipya hakikisha private part zinakua katika good condition

Mimi Kuna hii sabuni SHOWER TO SHOWER GELL huniweka very smooth ngozi na mwili
Shukran ila sio za Leo ni za muda
 
Mwambie rafiki yako abadili Boxer na apake mafuta ya nazi pindi amalizapo kuoga na aache ngono zembe..
 
Screenshot_20240323_093855_Chrome.jpg

Habari!
Kwa maelezo hayo kama ulivyosema inaonekana ametumia Ciproflocacin inje., Salbactum injectio.(probably Ampiclox+Salbactam au Ceftriaxone+ Salbactam)..
Amoxyclav,Fluconazile,Itraconazole,Azythromycin,Dox,Griseofulvin na zingine..

My Concern:

Dawa ulizotumia/alizotumia ni dawa Bora sana kwa matibabu ya Bacteria na Fungus namaanisha Broad-Spectrum antibiotics pamoja na Broad-Spectrum Antifungal..

Mpaka nimeona kuna Third generation cephalosporing zimetumika sana, na hakuna matibabu au Kupona kuliko Fikiwa..

Ushauri wangu:

  • Onana na Daktari wa Mfumo Mkojo urologist Kwa mfano kwa Dar es salaam kuna Hospitali inaitwa MDM Urology Specialized Hospital..Watakusaidia kutambua Maambukizi hayo njia ya Mkojo na kuyatibu pale inapowezekana..
  • Pili Fanya culture and sensitivity na Mkojo ili kujua hasa Ni nini kinachokusumbua na kujua Dawa gani ni sahihi kwako..
  • Fanya Skin culture "Probably inafnywa kwa Hospitali za magonjwa ya ngozi ili kujua hasa shida nini
ILi kugundua hasa shida ni nini licha ya kutibiwa kwa miaka mitatu na dawa Zenye ngumu na kushindwa kuondoa tatizo..

Shukrani
CC: classic1988
 
Aisee!

Anawezaje Kuvumilia Miaka Yote Hiyo Bila Kufika Kituo Cha Afya Kwa Vipimo Na Matibabu Zaidi.

Huku Ukiwa Unasubiri Madaktari Na Wataalamu Zingatia Yafuatayo.

1. Hakikisha Awe Msafi Kuanzia Boxer Hapa Ajitahidi Asirudie Nguo Za Ndani Zaidi Ya Siku Moja.

2. Hakikisha Ana Taulo Zaidi Ya Moja Na Atumiapo Hakikisha Analiweka Juani Kuepusha Unyevunyevu.

3. Asivae Nguo Za Ndani Zenye Unyevu( Avae Nguo Kavu Baada Ya Kajikausha Vyema Kwa Taulo Safi)

4. Yote Kwa Yote Pia Angalia Maji Unayotumia Kuogea Inawezekana Vyanzo Vyake Si Salama Au Miundombinu Yake Imechakaa Na Kutumia Na Uchafu Hivyo Basi Tumia Delto Ya Maji Kuyatreat Kabla Ya Kuoga.

5. USAFI NDIO KITU MUHIMU ZAIDI.


Tusubiri Wataalamu Tujifunze Zaidi.
 
Back
Top Bottom