WAPENDWA WANA JF,mimi na swali. je hawa DOWANS wakilipwa au wasipolipwa hizo 94 bln sisi watanzania tutaweza kuona tofauti yoyote katika maisha yetu?
ushauri: mi naona tuongelee zisilipwe na tuwaambie zisipolipwa hizo pesa wapeleke kwenye activity yoyote ya jamii ambayo result zake ni TANGIBLE...
Jamani udini udini udini udini ,lets stop this bsness huu ni mpango maalumu wa ccm kututoa ktk concetration ya mambo muhimu ya nchi,pliz lets not loose our focus
Wapendwa wana JF, Binafsi nasikitika sana tuapojadili historia ya dini zetu na masiha yetu.Guys kama kweli mliweza kusoma history vizuri na mkaielewa sidhani kama mtaendelea kubishania kuhusu Udini.
DINI ZOTE ZILILETWA NA WAMISSIONARY NA WAARABU,ambao their target was how EUROPE AND ARABS...
wapendwa wana JF mi nafikiri ni wakati sasa wakufanya mgomo baridi wenye akili,ni wakati wakununua solar,kila mwananchi ajitahidi apate solar as altenative power.Iwapo kila mtanzania anayetumia umeme kwa sasa akiweza kununua sola akafunga nyumbani kwake tukaachana na huu umeme si tutakuwa...
Siku zote Serikali imekuwa haikosi visingizio,watu wakidai haki zao taratibu wanaambiwa subirini kwanza mpaka bajeti itakapopita,NA WAKIDAI KWA MGOMO polisi wanatumwa kuwazuia na mpaka kuwaua,WAKISHAONA WATU WAMEUMIA NA KUFA,ndipo serikali huomba wakae meza moja wajadiriane kupata ufumbuzi wa...
kaka na maswali yafuatayokabla sijakupa ushauri 1.JE NI MARA NGAPI UMEWAHI KUFANYA MAPENZI 2. JE NI KILA UKIKUTANA NA HUYO MWANAMKE TU KHALI HIYO INAKUTOKEA 3. NA UKIAMKA UCKU UMESEMA UNAIKUTA IMESIMAMA JE HUWA UNAKUWA UNAOTA NINI 4. JE NI WAKATI GANI HUWA UNAFANYA MAPENZI NA HUYO MDADA (...
Mi nafikiri cha muhimu kuwe kuna public transport ambazo ni reliable tatizo la nchii hiii,we are cery good in theories(tuliambiwa kuna magari yatakuja ya mwendo kasi)
Jamani Tido ni kichwa kizuri sana kile kwenye ile fani yake,tunapoteza mtu potential,mi nafikiri kama kuna redio na TV zinazoweza kumlipa hapa bongo achukue kazi au kama vp afungue yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.