Huna maana! Unawazia mabaya tanzania yetu. Chadema wapenda amani ni sio huu uchuro unaouwaza mzushi wewe! Go to hell
Kuna ujumbe hapo chunguzeni kwa makini.
we nae c unyamaze!wa2 wanatafuta nafuu ya maisha unadhani itakuja kama mkate kwenye sahani?kweli kabisa, wanaofanya vitendo kama hivyo, vya kuandamana na kuleta fujo zisizokuwa na maana wanawazia mabaya tanzania yetu njemaa.
Yaani hao watu waliokaidi amri ya polisi na kuwadanganya watu kuwa nendeni tu mkaandamane na mfanye fujo wanapaswa kulaaniwa sana tena sana kwa kusababisha madhara makubwa kwa jamii, baadhi ya madhara hayo ni vifo, watu kujeruhiwa, biashara kuharibiwa, amani kuvunjika, na wengine kuwekwa ndani na polisi. Walaaniwe wote walioanzisha hii fujo.

Mapambano dhidi ya madikteta, JK na CCM hawawezi kuondoka bila hii kitu.
Exactly "they got fired at", kwa nini? kwa sababu ya kufata watu wenye "upumbavu" ambao wamewaambia andamaneni na huku poilisi wamesha tangaza msifanye maandamano, matokeo? tunayajuwa wote, hakuna siri.
HUYU NDO hiza, msHuyu ni mtu wa propaganda...making a lie to be the truth....Zoba, Msaidizi wa Hiza nini?