Waandishi wa Habari wa Tanzania sio wazalendo, wana majungu: Kibonde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa Habari wa Tanzania sio wazalendo, wana majungu: Kibonde

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 16, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Juzi niliokuwa nasikiliza Cloud Ifm jioni ktk kipindi maalum nilimsikia mtangazaji anaeitwa Kibonde akiponda sana wandishi wa habari hasa walaivyokuwa wanaripoti matukio ya siasa hasa yale ya Arusha na Polisi.
  kwamfano
  "Assalam Alikum, hawa waandishi wa habari wanataka sifa? wanataka nini Tanzania? hawaoni wenzao rwanda walivyosababisha mauji huko"
  "Assalam Alakum. Eti gazeti hili limeandika, Polisi yakiri kuua", Hili limeandika Chadema latikisa taifa ,"haya ndio watz wanayataka?"
  "waaandishi wanataka nini? hawajui kazi yao" huku azidi kunukuu magazeti yaliomchefua.kwanini wasiendike Kilimo kwanza, Elimu na matibabu? aliendelea kushua tuhuma kwa waandishi wetu wa habari
   
 2. bfsam2000

  bfsam2000 Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  kichwa maji huyo!
  haihitaji kumjadili
  kwanza sitaki hata kumsikia
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,526
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Bila ya kujali matatizo yake mengine, namuunga mkono kwani ni kweli kuwa waandishi wa bongo hawajui repercussion ya headlines za habari zao.
   
 4. M

  Masauni JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini wale waandishi wanaotetea ufisadi,akiwemo kibonde mbona hamuwasemi? Nakuhakikishieni nchi hii italipuka kwa sababu ya mafisadi and nothing else
   
 5. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Fani ya uandishi wa habari inategemea matukio tofauti na uhasibu au engineering. Waandishi waandike nini kuhusu kilimo kwanza kwasababu tangu kimetanganzwa bungeni nini kimefanyika? waandike nini kuhusu matibabu ilihali tunajua hali halisi? Je wakiandika kuwa akina mama 4 wamekufa wakati wa kujifungua ina tofauti gani na kuandika watu 4 wamepigwa risasi Arusha? Je wangeandika nini kuhusu tukio la Arusha ili vichwa vya habari viwe soft? '' Polisi waua kidogo Arusha'' au Polisi wakemea mauaji Arusha.
  Kumbukeni, Habari ni si ile inayohusu mbwa kumuuma binadamu, bali binadamu kumuuma mbwa.
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  mtu anayeshika kiberiti na kuwasha moto hasemwi; anayesema "kinaungua" ananyoshewa kidole? Hivi mnafikiri waandishi wa habari wakianza kurembesha katika kuandika kwao ndio tatizo la uongozi nchini litapata ufumbuzi? mnafikiri magazeti yakianza kuandika tofauti ndio mafisadi watalionea huruma taifa? Hivi polisi wakiua ingeandikwa vipi? mwizi akiiba tumwambie kachukua "bila kuomba"? Inabadilisha kile kilichotokea au inatufanya tujisikie vizuri kuwa hatukumwita mwizi mwizi?
   
 7. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anachosema ni kwamba, wawafichue mafisadi wa kilimo kwanza na elimu
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  KIBONDE NI ShOGA NA WAARABU WOTE HAPA MJINI NI WAUME ZAKE,KIBONDE NI HANIDHI AMEOA MKE LAKINI ANAZALISHWA NA WANANCHI WENGINE TUU,KIBONDE NI PUNGUANI HAJAWAHI KUMALIZA SHULE LABDA YA MSINGI TUUU KILA ANAPOANZA ANAFELI HATA SHULE YA UANAHABARI ALIFELI VIZURI TUU,KIBONDE ANAJIPENDEKEZA KWA CCM NA SERIKALI YAKE LAKINI WAO WENYEWE HAWAPENDI TABIA ZAKE ZA KISHOSTI
   
 9. M

  Masauni JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini asiwafichue yeye si ni muandishi wa habari?
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,526
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mlipuko utatokea kwa sababu ya upumbavu wa watanzania. Ufisadi tumeulea wenyewe kuanzia ngazi ya familia, ukoo, jamii hadi taifa. Hebu tujitafakari, nani hajawahi kuiba kwa kushiriki, kushuhudia na kunyamazia, kusifia wizi, au namna nyingine ambayo haiondoi tatizo bali kuliongeza.
   
 11. I

  Ijuganyondo Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pu.......vu kibonde
   
 12. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kibonde huwa anaongea km kasuku na kwa vile yeye ni mc mkimtaka aongee mambo ya maana wakati anachotakiwa ni kusema chochote alimradi muda uende mtakuwa mnamuonea , mwandishi anahabarisha kinachotukia bila kuangalia kinamfurahisha au kumuuzi nani ? Sasa kilimo kwanza kwenye mabomu ya machozi maji ya kuwasha na risasi za moto kinaingiaje? kuna siku alikuwa anajisifu kwa kuvaa suti ya laki sita na kulipiwa ticket ya ndege kwa ajili ya kwenda arusha kusherehesha sasa huyu ni wa kuonea burma kwani anadhani wkt wote yuko harusini
   
 13. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa huna ananifurahisha anavyijichanganya. Very poor, ila nilipenda kupata CV yake. Kuwasema wenzake that way is not good. Hivi angekuwa na uwezo kama Ulimwengu, Njogopa na kidogo hata wale wa asubuhi wa powerbreakfast hivi angekuwaje? Naomba kujua uwezo na elimu yake tafadhali.

  Kipindi achokitumia ni kipindi ambacho kinasikilizwa na wengi hasa wenye uelewa. Nashauri uongozi wa Clouds kama wanataka biashara wamuondoe huyu bwana. Ni ushauri tu ila tym will tell. Don play with peoples feeelings bwana.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Unahangaika ni zero huyo? achana naye mwone kama **** tu!
   
 15. m

  matawi JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Msipoteze muda na bwabwa leteni habari ingine hapa jf vinginevyo patakuwa si home of great thinkers
   
 16. a

  alwim Member

  #16
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kibonde si mwandishi wa habari ni mc wa shoo za taarabu.naomba muelewe hilo na tusipoteze muda wa kumjadili
   
 17. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  kunguru hafugiki...!
   
 18. f

  freddielly Member

  #18
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Punguani huyo !!!
   
 19. msafiri.razaro

  msafiri.razaro JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 616
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Bado unasikiliza Cloud, mimi nilishasema upuuzi wa kitoto wa kiponde sisikilizi.
   
 20. m

  mangoa Member

  #20
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 2, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jamii wenzangu?kwanza naomba kujua jamii forum imetekwa na chadem au?mana kumeibuka wimbi kubwa la watu wenye mlegwa,mi ni wana harakati lakini siku zote napenda kusikia vi2 vilivyo na vinavyo leta tija.mmemshambulia sn kibonde kuanzia elimu,familia mpk kazi,hv ****** ana busara?kufeli shule unauwakika?watoto sio wake unauwakika?naomba ukiandika jambo fafanua,alifeli shule flan,basha wake flan,watoto mkewe kazaa na flan,jamani tukumbuke jamii forum inasomwa na watu wengi sn na wenye rika tofauti,jamani nadhani tukiamua kuchangia hoja tuwe makini zaidh,mana kuna ukweli tanzania nch masikini na yenye matatizo makubwa,vifo vya arusha ni moja ya tatizo,je mengine mmeyasahau?tatizo waandishi wana ushabiki wan,wahariri wana ushabiki,wamiliki wana ushabiki,maaskofu,mashehe,so kila mtu ni mshabiki kwa kiwango chake,arusha inamatatizo makubwa nayo ni ukabila,udini,uccm na ucdm tusipokuwa makini lema atafanya lolote miaka 5 itakatika mana na yeye amekuwa mshabiki badala ya kuwa kiongozi,yeye km mbunge alitakiwa ajitaidi kuvunja makundi ili arusha isonge mbele lkn wapi arusha inasonga nyuma na gari lililokatika break.
   
Loading...