Good Bro. watu wanachanganya. Jasusi ana mafunzo ya kufika sehem, kuzijua, kukusanya, kuzificha na kuzifikisha taarifa muhimu zinazotakiwa na idara husika. jasusi anaweza kuwa mwanasiasa, muuza pipi, padre, sheikh, mchungaji, askari au hata mwanafunzi. Ila tu anatakiwa kuwa na sharp mind na...