Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Hilo neno "Kongole" nalichukia hivi ni kiswahili fasaha ?
False.Mkuu, Fast Jet walikuwa ni low cost carrier, kwa mfano Air Tanzania, ukingia ndani huduma zote ni bure, vinjwaji, chakula nk, lakini ilikuwa kwa Fast Jet ilikuwa kila kitu uingiapo ndani ulikuwa unauziwa, na mara nyingi low cost carrier hakuna starehe ndani, kuna kipindi Ryanair walikuwa wanataka anzisha huduma kila ukingia chooni ulipie. Ndege zao mara nyingi sio mpya,,,so mfumo wanaotumia ATC ni hizi low cost carrier ni mifumo miwili tofauti
Siku moja nilikuwa nimepanga safari ya kutoka Mwanza na Fastjet. Halafu siku hiyo ndege ile haikufika Mwanza kutokea Dar, kwa hiyo abiria wa kutoka Mwanza tukakosa usafiri. Kwa vile nilikuwa na safari ya kuunganisha KLM kwenda nje ya nchi, ikabidi niingine gharama za ziada kukata ticket nyingine Precisionair kwani singeweza kumudu kutokufika Dar siku hiyo kwa ajili ya connection flight yangu. Baada ya kufika Dar nilikwenda ofisini kwao kudai wanirudishia nauli yangu, wakagoma, ikabidi niondoke na ticket ile ambayo sikuwahi kuitumia tena, pesa yangu ikawa imepotea bure.Hivi fastjet alikuwepo hapa Tanzania kwa miaka mingapi huku ATC akiwa hoi na hakuweza kutupa huduma zaidi ya kuchangua njia zenye abiria wengi tu Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro? Wajinga ndio waliwao.
Wala sitoshangaa shirika lenye asset za ndege zenye thamani ya Tsh 1 trillion plus; ambazo lifetime ya ndege zenyewe ni miaka 20 ina maana kila mwaka kwa ndege tu wanatakiwa kutengeneza si chini ya Tsh 60 billion.Mbona linapiga loss za 100b+ kila maaka tangu kufufuliwa....
Maskini wanali subsidize shirika ili middle na upper class wapande ndege kwenye routes zisizo na demand.
Walishindwa au walioipigwa figisu na serikaliFastjet ilikuwa ni Low Budget Airline na ndiyo maana imeshindwa kwani operational costs ziko juu mno na ndiyo maana walishindwa.
Kweli tatizo nauli zao si rafiki wajaribu ku adjust kidogo mbona wenzao fast jet walimudu kwa nauli rafiki ambapo wengi tulifaidika? Sasa ATCL mpaka mtu wa kawaida mnyonge na masikini wa Magufuli ukune kichwa sana kumudu nauli zao
ngumu kueleweka..ni kweli kabisa wanatekeleza ndoto ya rais JPM, after all tulimchagua ili atekeleze ndoto zake.
Ili tupate nauli rafiki ni mpaka hapo apatikane mshindani mwenye nguvu. Monopory inaumiza mnoooo.Nakubaliana nawe Mkuu, nauli bado ni 'za moto sana'. Lakini, mambo yatarekebishwa tu Mkuu
YaghekoKapange mstari lango la ikulu huwa kuna mgawo kila ijumaa jioni
kama tusi mwenyeweYagheko
Huhuhuhuuu unajihami kamuulize ikulu maana ya yagheko ni nini ni kisukumakama tusi mwenyewe
Jamaa huyu wamfikirie hata u-DC angalau hata wa huku jamii forums kama kwingineko kumejaa maana anajitahid sanaMnasifia hapohapo mnalalamika nauli ni kubwa, it's either with us or against us. Nilitegemea mleta mada alivyosifia angelipa zaidi kuonyesha uzalendo.
Nakubaliana nawe Mkuu, nauli bado ni 'za moto sana'. Lakini, mambo yatarekebishwa tu Mkuu
ni kweli kabisa wanatekeleza ndoto ya rais JPM, after all tulimchagua ili atekeleze ndoto zake.
Walivyo na roho mbbayya watapinga haswaa.. Na wewe uta zawadiwa matusi.Chadema njooni haraka tupingeeeeee
This scenery reminds me of one of my KLM flights from AMS to DAR via JRO in March. The economy class had only a handful of passengers, and the crew treated us very well to the extent the captain opened first class cabin to whoever wanted to upgrade up to JRO. As we landed JRO, the airplane became full, the real meaning of full, i.e. no empty seat.Boarded Rwanda Air from Kigali to London via Brussels & I had a good number of empty seats to myself. Looked like travelling business class with plenty of space. Loved it. Wellcome AirTanzania
Shida ya watanzania ni hiyo hata usome vipi sijui kwa faida gani,mpishi ulienae ndie huyo endelea kumsifia maana aliposimama na wapishi wengine wala hakufua dafu akawafitinisha akawafukuza only in tz.Tatizo ni kuua washindani wake, katika Biashara huwezi kujipima kama huduma ni zuri au la bila kua na mpizani wa dhati katika hiyo biashara, hiyo nikama propaganda tu. Mkubalie fast jet umpe na hizo route zote ndani ya mwezi moja utaona Atcl niwababaishaji I swear...