Recent content by Aluwatan

  1. A

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Magreda yakija kubomoa hawajahamisha vitu mseme Tena serikali Ina MAAMUZI ya kikatili?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Mkuu hyo michoro ya contour map una uhakika haitahtaji baadhi y watu kuhama ili civil engineer wafanye kazi Yao sasa ya ujenzi wa miundombinu?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga nyumba Hadi kwenye lenta

    Wadau habarini Hivi gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu dinning na sitting room mpaka kufikia mwenye lentre inaweza kugharim shingap za kitanzania Hapa naulizia kuanzia msingi, gharama za mchanga, cement, mawe, etc Msaada wenu wakujichanga wenzangu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani nikimaliza kusoma (shairi pendwa shule ya msingi Miaka ya 2003-2009)

    Daaah wadau habarini Mlioanza shule mwaka 2003-2009 bila shaka mnalikumbuka vizuri hili SHAIRI Nashauri lirudishwe kwenye vitabu vya mitaala ya sasa maana Lina maana nzuri Hadi leo hii Linawapa watoto motisha ya kusoma au kufanya bidii kufikia kile wanachokitamani "Nitafanya kazi...
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mashairi tuliyoyapenda shule ya msingi

    Nitafanya kazi Gani nikimaliza kusoma,hili lilikuwa shairi Bomba Sanaa na mashuhuri mno
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua mwenye uzoefu na maswali ya Tutorial Assistant - ECONOMICS

    Kiufupi Wewe jua kutumia projekta Jinsi ya kuwasha n mamna y kuandaa notes, jaribu kufwatlia slide moja inatakiwa iwe na maneno mangapi? Tafuta topic zako kama mbili kuhusu uchumi zi maste kweli kweli maana utazi wasilisha mbele ya judges wa usaili, Kisha wao watakuuliza maswal ya kada yako...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Namba 13 ina shida gani?

    Unataka kutuambiaje sisi tuliozaliwa tarehe 13 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Pole sana huyo nmemaliza nae mwaka mmoja kabisa pale lakini sasa nashauri Muulize anapenda biashara Gani umsaidie mtaji kama unaiwezo afanye Pia asipitwe na tangazo lolote la ajira hata kama nafasi ni moja aombe tu Lakini pia wakati mwingine dada zetu Hawa degree zinakuwaga za mchongo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Rafiki angu mfwendesawadogo upo aisee kama umechomoka jamaa yangu hongera sana sikujui lakin huku niliko nmefurahi mno mnoooo jamaa yangu,patient is everything
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

    Mmh Kwan wayahudi ni wakristo Hawa watu SI wanaongozwa na Sheria za Musa na torati,Hawa Jesus hawamtambui
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral pia Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

    Wadau kuna njia ya Arusha to musoma kwa kupitia Serengeti? Yaani nauliza njia fupi kutoka Arusha to musoma? Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndugu yangu mwifwa nimekutafuta pm Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ila Si salary inaingia au akiw anatafuta uhamisho salary inasimamishwa kwanza? Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nakazia napigilia msumari,Dogo nenda wizarani nenda wizarani,nenda wizarani huko jina lilipotoka placement Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom