Nitafanya kazi gani nikimaliza kusoma (shairi pendwa shule ya msingi Miaka ya 2003-2009)

Aluwatan

JF-Expert Member
Apr 7, 2023
267
573
Daaah wadau habarini

Mlioanza shule mwaka 2003-2009 bila shaka mnalikumbuka vizuri hili SHAIRI

Nashauri lirudishwe kwenye vitabu vya mitaala ya sasa maana Lina maana nzuri Hadi leo hii Linawapa watoto motisha ya kusoma au kufanya bidii kufikia kile wanachokitamani

"Nitafanya kazi Gani,nikimaliza kusoma

Nipende kuwa rubani kazi nzuri ya heshima,Nirushe ndege angani niifikishe salama,Nikimaliza kusoma nitafanya kazi Gani"

KAMA UNAKUMBUKA BETI NYINGINE TUPIA

WADAU WANGU TULIOSOMA MBARAMO PRIMARY MUHEZA Kila nikikumbuka hili shairi nawakumbuka sana wangu
Chini ya usimamizi wa Mwl wetu mahiri kabisa MWALIMU MAHIMBO NIKIIMBA HILI SHAIRI
NAMKUMBUKA SANA,ALIKUWA MWALIMU MZURI SANA WA ENZI ZILE ALIFUNDISHA VIZURI SANA NA KWA MOYO.,.. MADAM,NAKUTAKIA AFYA NJEMA POPOTE ULIPO

NMEKUKUMBUKA SANA MATUNDA YA UFUNDISHAJI WAKO NA MSISITIZO WAKO KATIKA USHAIRI HUU YAMEONEKANA

ANAE JUA MTUNZI WA USHAIRI HUU NISAIDIE PLZ
 
Huwa kuna vitabu vya shule ya msingi nikiviona zinanijia kumbukumbu tamu na chungu at the same time.Nostalgia
 
Back
Top Bottom