Namba 13 ina shida gani?

Namba 13 ina shida gani?

Hivi Michael Ballack alikua anavaa jezi namba ngapi vile??? Alikua na mikosi ktk carrier yake au???
Despite all his qualities, despite all his skills and goals. Michael Ballack never ever won a Champions League or World Cup. This fact will never change. Player like Anderson (Manchester United) and Ricardo Carvalho (Chelsea) have won more champions league then him. Players like Steve Mandanda (France) and Skhodran Mustafi (Germany) have won more world cups than the German powerhouse.

Michael Ballack, a true German footballing icon and a legend. A Chelsea, Bayern and Levurkusen legend. Will go down in history as the most unluckiest footballer there is, perhaps even football’s biggest looser.
 
Friday 13

Wamarekani na Waingereza wana imani mbaya kuhusu siku hii

Nafikiri ni Imani tu isiyo na maana yoyote
 
Kwahiyo hiyo namba inakuwa na mkosi ikiandikwa tu maana kama kuna 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,14,15 si simple tu kujua kwamba namba zinaishia 14, na 14 ni 13 tu iliyofichwa!
 
Habari wakuu,

Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege

Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo

Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.

Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?

Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia

View attachment 2866129

Sent using Jamii Forums mobile app
Na bila kusahau katika Last supper picha iliyochorwa na Da vinci kama Sikosei..
Kwenye Mlo wa mwisho wa yesu wako wanafunxi 13 na mwanafunzi wa 13 Ni YUDA iskariote
 
Habari wakuu,

Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege

Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo

Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.

Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?

Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia

View attachment 2866129

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutuambiaje sisi tuliozaliwa tarehe 13
 
Nilipohesabu na 13 kuwa upande wangu nikawaambia turudie tena, wakati wanauliza why nikawa nasogea mbele then nikarudi kusimama eneo lingine tofauti na nilipokuwa awali.

Niliwaambia mmekosea mnapaswa kuanzia mbele siyo chini, tuliporudia nikahesabu 12, tukaendelea, daaa 😂😂!.
 
Nilipohesabu na 13 kuwa upande wangu nikawaambia turudie tena, wakati wanauliza why nikawa nasogea mbele then nikarudi kusimama eneo lingine tofauti na nilipokuwa awali.

Niliwaambia mmekosea mnapaswa kuanzia mbele siyo chini, tuliporudia nikahesabu 12, tukaendelea, daaa !.
Hiyo namba 13 inabeba mambo mengi. Ni kweli Katika karamu ya mwisho ya Bw. Yesu pamoja na wanafunzi wake ilifanyika ikiwa na washiririki walikuwa 13. Na ilimalizikia yuda iskariote kujiua. Lakini ni mtazamo tu.
Katika nchi ya Amerika kuna LA mji kadogo kanaitwa "Salt Lake", ambapo Series za sinema za Jason (The 13th Friday). zimechezwa pale, ndizo zilizofanya imani hiyo kuwa maarufu na kutia watu hofu kuhusu namba 13.
Lakini namba 13, ni mbaya inapoangukia siku ya ijumaa. Lakini kuhusu namba 13 Katika vyumba vya Mahoteli ni wazi kabisa hazipo hasa katika Nchi za Amerika, Ufaransa Ujerumani ,na zaidi Uingereza. Ni namba yenye jinx yaani mkosi au balaa.
 
Habari wakuu,

Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege

Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo

Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.

Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?

Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia

View attachment 2866129

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye majengo mengi hakuna floor number 13, ukitoka 12th floor unaingia 14th floor
 
Hata kwenye baadhi ya gest houses, lodge na mabasi ya mikoani hiyo namba haipo.

wazee flani niliwahi kuskia wanadai hiyo namba ina mikosi sana,

Lakini pia hutumika kutoa kafara.

Akatoa mfano mgumu kidogo eti hebu fuatilia basi na kampuni zinazopata ajali sanaaa....

anasma utakuta hiyo basi ina siti namba 13, halafu within the same bus company Lakini basi nyingine hazina hiyo namba 13....

Zinakuepo chache kwa kaz maalumu
Huu uongo nani alikagua hayo mabus yaliyopata ajali kua yalikua na seat na 13 namba 13 kiimani inaogopwa coz haiingiliki kirahisi
 
ikitokea tukacheki bas ndugu yangu unaebisha na usiekua na uthibitisho wenye utafiti 🐒

kwahiyo malori yenye gia 16 namba 13 haiingiliki kirahisi sio 🤣

na mbona vitoto vya darasa la 6 vingi vyenye umri wa miaka 13 ndio vinapigwa mimba kirahisi sana na huku unasema namba 13 haiingiliki kirahisi 🤣

ñjoo apa manzese darajani upande wa kushoto kuna hotel jina kapuni haina room na 13, nilifika majuzi nikawaomba wanipe room namba 13 wakanambia hamna hiyo room ispokua zina majina ya wanyama kama vile faru joni n.k.
 
Inasemekana ni namba ya bahati mbaya,sasa sijui waliozaliwa tarehe 13.
 
Jesus n his disciples 1+12, halafu alisulubiwa Friday..ni Imani tu ila origin yake ndo hio notion
 
Back
Top Bottom