Fafanua tatizo kwanza.
Hiyo kesi ni jinai au Madai
Ndugu yako ni Mtuhumiwa au Mlalamikaji
Ndugu yako ni Mdai au Mdaiwa
Kama inawezekana eleza kisa kidogo tuichambue.
Ingawa umeeleza kwa kupinda pinda ila nafikiri nia yako ni hii. Mtuhumiwa ameiba pesa lakini dhumuni la kuiba pesa hizo ni kufidia deni analodai kutoka kwa Mlalamikaji. Kweli hapo mtuhumiwa ametenda kosa na kama atafikishwa Mahakamani basi ili asalimike na kifungo itambidi atumie kifungu cha...
Ushauri safi wa kisheria nenda kalipe deni. Nenda kakubaliane nao namna ya kulipa. Naamini kwenye mkopo aliochukua Baba y'all na wewe ulisaini sehemu ya mkataba Kama mwenye nyumba. Pole katika uchumi wa kibepari ni vitu vya kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamiiforums. Leo Katika kutembelea forum hii nikavutiwa na hii mada.
SHERIA HAIKO WAZI SANA ILA KUNA DHANA INAYOSEMA MTENDA UOVU HAPEWI HAKI YA KUFAIDIKA KUTOKANA NA UOVU ALIOUTENDA .PIA KUNA KESI ZIMESHAWAHI KUAMULIWA INGAWA SI KAMA YAKO ILAZINAENDANA.
(ii) The court will not assist...
Jinai zote mlalamikaji ni Jamhuri yaani R. v.Agaba.Maana yake ili jamuhuri ikushitaki lazima ijiridhishe kwenye upelelezi wake kama kesi ya jinai inayoanzia Polisi basi polisi na ofisi ya mashitaka imeona ushaidi unatosha itakushitaki hilo si swala la mlalamikaji unayemsema wewe kwani Huyo kule...
Wewe Abagabo s/o Expert member Jf Unashitakiwa kuwa mnamo tarehe 24.06.2019 majira ya saa 20:00hrs huko Tabata segerea uliiba pesa Tsh milioni Themanini Mali ya xxxxx benki.Ulifanya hivyo huku ukijua ni kosa kisheria.
Hapo tunategemea Ushaidi muhimu kutoka xxxxx bank anaweza kuwa meneja wa tawi...
Mlalamikaji wa kesi za jinai ni Republic kwani sheria zote kwenye jinai zinasimamiwa na Republic hivyo ukivunja inasimama.Hivyo kwenye hati ya mashitaka Jamhuri itakulalamikia wewe uliyeiba pesa za umma au za Mtu Fulani ikumbukwe kuwa kampuni ni Mtu kisheria ila haiwezi kusimama yenyewe...
mfano kesi za kikatiba unakilalamikia ibara Fulani ya katiba ambapo serikali inakiona kipo sawa .unatinga Mahakama kuu kesi utakayofungu ni dhidi ya mwanasheria wa serikali mnamuita Attorney General.mfano "pinda case's " TLS vs AG dhidi ya Ibara ya 100 ya Katiba ya jamhuri ya muungano.Ukiona...
Mimi kwa Mara ya kwanza kununua bidhaa nilianzia humu jamii forums kutoka kwa member mmoja anaitwa Stable George yeye tuliingia mkataba wa kuniuzia vitabu ambapo aliniuzia vitabu Vingi kwa softcopy na alinitumia kwa email yangu Ila kwa nje ya nchi bado sijawahi kununua na hasa shida IPO kwenye...
Kuna watu sijui huwa wanafikiriaga nini Yaani msomi wa chuo kikuu tena kwenye mambo ya uchumi unayejua bank inaendeshwa kwa mfumo gani Leo unaongea haya.Yaani nakuona tu hapo location yako na unatumia device ya ofisi kukashifu bank. Mbaya zaidi unaropoka tu bila facts. Nakushauri tu kumbuka kuwa...
zamani kabla ya Dini wewe hukuwepo pia kumbuka tu wao walikuwa na imani zao ambazo walifundishwa kwa wakati huo.Kumbuka tena kila zama na kitabu chake .
Mahakama pia inaamini kwenye saikolojia ya jamii hivyo kuapa kunamaanisha utasema kweli tupu kwakuwa unamuogopa mungu wako kusema uongo .Sasa ukisema uongo ni wewe na mungu wako.Utakachokisema mahakamani mahakama hukipima kama kweli kinawezesha kutenda haki .kushinda kesi au kushindwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.