Naombeni ufafanuzi juu ya "Citation" ya hizi Case!

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
138
250
Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s R..lakin basi nimekua nachangamoto ya kuelewa nikatika mazingira gani case zinaweza kua na citation kama zifuatazo...
1-Juma S/o Hoza V/s AG
2-AG V/s Juma S/o Hoza
3-Dpp V/s Juma S/o Hoza
4-Juma S/o Hoza V/s DPP
Naomba kueleweshwa nicase za aina gani/ni circumstances zipi zina Fanya case kua na mifano ya citations hizo??
 
Edward Nditi

Member
May 8, 2014
8
45

[/QUOT
serikali kawaida unaishtaki kupitia mwanasheria mkuu wa serikali yaan AG(Attorney General).S/o =Son of(mtoto wa).Dpp=Mwendesha mashtaka wa serikali.Unapoikosea jamuhuru unashtakiwa na Jamuhuri kupitia ofis ya mwendesha mashtaka wa serikali
 
BenKaile

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
448
500
Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s R..lakin basi nimekua nachangamoto ya kuelewa nikatika mazingira gani case zinaweza kua na citation kama zifuatazo...
1-Juma S/o Hoza V/s AG
2-AG V/s Juma S/o Hoza
3-Dpp V/s Juma S/o Hoza
4-Juma S/o Hoza V/s DPP
Naomba kueleweshwa nicase za aina gani/ni circumstances zipi zina Fanya case kua na mifano ya citations hizo??
HABARI ZA JIONI NDUGU,
KWA MAELEZO MAFUPI NI KUWA UKIONA CITATION YA CASE YENYE MUUNDO WA AINA KAMA ULIZO ORODHESHA HAPO, ( MF; JUMA S/O HOZA V. AG/DPP ) NI KWAMBA KESI HUSIKA INA WAHUSU JUMA SON OF HOZA VERSUS ATTORNEY GENERAL/DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS. KWAHIYO (S/O) MEANS SON OF SOMEBODY.
 
Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
138
250
HABARI ZA JIONI NDUGU,
KWA MAELEZO MAFUPI NI KUWA UKIONA CITATION YA CASE YENYE MUUNDO WA AINA KAMA ULIZO ORODHESHA HAPO, ( MF; JUMA S/O HOZA V. AG/DPP ) NI KWAMBA KESI HUSIKA INA WAHUSU JUMA SON OF HOZA VERSUS ATTORNEY GENERAL/DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS. KWAHIYO (S/O) MEANS SON OF SOMEBODY.
Sawa mkuu kwa ufafanuzi wako ila nilichotaka kujua in case zipi ndio zinaweza kua na citation zinazojumuisha DPP au AG?
Maana kwa jinai case zinajumuisha mtuhumiwa na Jamuhuri(Juma S/o Hoza V.R)sasa hizi za Juma S/o Hoza v DPP Au AG,hizi nicase za vipi??
 
ALPHRED MAHUNJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
309
225
Sawa mkuu kwa ufafanuzi wako ila nilichotaka kujua in case zipi ndio zinaweza kua na citation zinazojumuisha DPP au AG?
Maana kwa jinai case zinajumuisha mtuhumiwa na Jamuhuri(Juma S/o Hoza V.R)sasa hizi za Juma S/o Hoza v DPP Au AG,hizi nicase za vipi??
mfano kesi za kikatiba unakilalamikia ibara Fulani ya katiba ambapo serikali inakiona kipo sawa .unatinga Mahakama kuu kesi utakayofungu ni dhidi ya mwanasheria wa serikali mnamuita Attorney General.mfano "pinda case's " TLS vs AG dhidi ya Ibara ya 100 ya Katiba ya jamhuri ya muungano.Ukiona kesi IPO Juma vs Ag ujue serikali inalalamikiwa.
 
Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
138
250
mfano kesi za kikatiba unakilalamikia ibara Fulani ya katiba ambapo serikali inakiona kipo sawa .unatinga Mahakama kuu kesi utakayofungu ni dhidi ya mwanasheria wa serikali mnamuita Attorney General.mfano "pinda case's " TLS vs AG dhidi ya Ibara ya 100 ya Katiba ya jamhuri ya muungano.Ukiona kesi IPO Juma vs Ag ujue serikali inalalamikiwa.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri na vipi citation zinazo involve DPP hapa inakuaje?
 
BRIGHTFAME1

Member
May 29, 2014
8
45
Hizo ni case za makosa ya jinai na msimamizi/ muendesha mashataka mkuu ni DPP( director of public prosecution) kwa niaba ya Jamhuri/Umma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom