Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

hapo umezungumza kwa majibu wa biblia ambayo tuchukulie ni kama theory.. sasa tuje kwenye uhalisia hivi Mungu atuchome kwa moto ili afaidike nini zaidi?
Huyo MUNGU anaongelewa tofauti kwenye dini tofauti so hakuna jibu la pamoja.

Ila Abrahamic religions nyingi zinaamini moto ulikuwa maalum kwa Hasimu wa huyo Mungu....yaani Lucifer/Shamael Hivyo basi jamaa akaona kuliko kupotezwa mwenyewe so akaamua kudanganya wanadamu wote ili amkomoe Mungu.

Hivyo basi waliomfuata watapotea naye huko motoni..... Kiufupi ''BIFU'' la Mungu na Lucifer/Shamael ndio limezaa agenda ya moto, hii ni kwa mujibu wa hizi dini za Abrahamic kma wayahudi/wakristo/Islam n.k
 
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
zamani kabla ya Dini wewe hukuwepo pia kumbuka tu wao walikuwa na imani zao ambazo walifundishwa kwa wakati huo.Kumbuka tena kila zama na kitabu chake .
 
Soma kisa cha mtu tajiri na maskini Lazaro katika vitabu vya injili Mathayo, Marko, Luka au Yohana utaweza kujua kuwa pepo na jehanamu vilikuwepo kabl hata ya ukristo/uislam...

Ukristo ulianza baada ya Kristo kutoweka duniani, lakini kisa hicho kinaelezea habari ya pepo na jehanamu wakati Kristo angali duniani...
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?
 
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?

MAANDIKO YA BIBLIA KITABU KWA WARUMI KINAJIBU MASWALI KAMA IFUATAVYO UKISOMA WARUMI SURA YA PILI MISTARI 11-16

11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.

12 Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.

13 Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.

14 Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.

15 Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;

16 katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
 
Mtu wa mwanzo kuumbwa alikuwa Adam kisha akaumbwa Hawa kutokana na Adam, baada ya kuumbwa walipewa muongozi wa kuishi na muumba wao, waliteleza katika kufuata maagizo hayo lakini waliomba msamaha na walisamehewa.
Maana ya neno Islam maana yake ni amani, kujisalimisha kwa Mola mlezi, watu wanafikiri dini ya uislamu ilianzishwa na Muhammad bin Abdullah (S.A.W.) hapana bali yeye ni mtume wa mwisho wa Allah, uislamu ulikuwepo toka uumbwaji wa dunia, tunaamini kila mtu aliyeamini kuwepo kwa Mungu mmoja asiyezaa wala kuzaliwa na hafanani na kitu chochote ni muislamu.
Mungu alikuwa akiteremsha wajumbe wake kutokana na utashi wake, ikiwa kuna watu ambao hawajafikiwa na ujumbe huo basi hao Mungu hawezi kuwahukumu, kwa kuwa alisema hawezi kuwaadhibu watu mpaka awapelekee mtume.
 
Kuna baadhi ya watu huaminisha watu kuwa dini yao ni ya kweli na bila hiyo dini huwezi ona mbingu na ukiangalia dini na watu cha kwanza ni watu na dini zilikuja kwa baadae sasa je waliokufa kipindi dini hazijaletwa wamekwenda motoni au? tusaidiane kuwekana sawa hapa ila kwa mawazo yangu naamini kwa walio tenda mema wamekwenda peponi ila waovu ni motoni...vipi wewe unasemaje?

Kabla sijakujibu swali lako,naomba unijibu swali hili.

Unaweza kuniambia ni lini haoa duniani hapajawahi kuwa na DINI ?

Ukinijibi swali,hilo nitakuja kukuonyesha vipi ulitakiwa kuuliza swali na nitakuoa majibu pia.
 
Hivyo basi waliomfuata watapotea naye huko motoni..... Kiufupi ''BIFU'' la Mungu na Lucifer/Shamael ndio limezaa agenda ya moto, hii ni kwa mujibu wa hizi dini za Abrahamic kma wayahudi/wakristo/Islam n.k

Kwenye Uislamu hakuna jambo kama hili. Huwa nashauri mkiwa mnasoma mambo kubusu dini fulani,msiishie kusikia tu,bali msome kweli na muelewe.

Unajua kama moto upo kabla viumbe hao ulio wataja ?

Halafu kusema hivyo ni kumvunjia heshima Mola aliye juu,vipi awe na bifu kwa kiumbe alichokiumba mwenyewe na mwenye uwezo wa kukifanya chochote wakati wowote ?
 
Wafia dini wengi ni mambumbumbu..
Akili zao wote wamemkabidhi mbumbumbu mmja wanaomwita mchungaji/nabii/mwalimu/nk

Wanabebana na Vitabu vya natural science (bible/quran)..kama mapambo hata kuelewa kilichomo ndani hawaelewi..nikuvisoma kama story book tuu nakurudia kilichoandikwa

Kwanza umeeelewa swali ?
 
Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu
Matendo ya Mitume 17: 30
 
MAANDIKO YA BIBLIA KITABU KWA WARUMI KINAJIBU MASWALI KAMA IFUATAVYO UKISOMA WARUMI SURA YA PILI MISTARI 11-16

11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.

12 Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.

13 Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.

14 Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.

15 Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;

16 katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
Safi sana majibu yako wazi..
 
Kwenye Uislamu hakuna jambo kama hili. Huwa nashauri mkiwa mnasoma mambo kubusu dini fulani,msiishie kusikia tu,bali msome kweli na muelewe.

Unajua kama moto upo kabla viumbe hao ulio wataja ?

Halafu kusema hivyo ni kumvunjia heshima Mola aliye juu,vipi awe na bifu kwa kiumbe alichokiumba mwenyewe na mwenye uwezo wa kukifanya chochote wakati wowote ?
Na nyie ndio mnaharibu JF inatakiwa hoja ijibiwe kwa hoja sio unakosoa alafu huweki alternative.

Mie nimeeleza nachofahamu sasa ilipaswa wewe unikosoe kwa kuweka unachofahamu. kusema tu chanzo sio mgogoro wa Mungu na shamael/Ibilisi/shetani eleza basi chanzo cha watu kupelekewa Kuzimu bila uwepo wa Ibilisi/shetani ni upi???

Hapa ndio mtafaidisha wasomaji ila kupinga tu maoni ya mtu bila kuweka yako ili watu wayatumie kama reference unakua hutendei haki wasomaji wa JF.

Huwa nakuheshimu sana mkuu so i expect much better
 
Ukisoma Qur'an surat 7...
7:18 - Akasema: Toka humo, nawe umekwisha fedheheka, umekwisha fukuzwa. Hapana shaka atakaye kufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote.

Kwahiyo kwa muktadha huu inaonyesha watakaomfuata Shetani basi watatupwa naye Jehannum.... Ssa wewe unayepinga relationship kati ya uwepo wa Shetani na watu kutupwa Jehannum nipe alternative hoja ili wote tujifunze. Maana nachofahamu kwa uelewa wangu mdogo baada ya kutimuliwa aliomba apewe "likizo" kidogo mpaka kiama na aliapa kuutumia kudanganya wanadamu ili kuprove kwa Allah kuwa hao wanadamu hawana shukrani wala sio bora kuliko yeye SHETANI hadi awasujudie??

Kwa muktadha huu Je hakuna connection kati ya uwepo wa ibilisi na Wanadamu kuchomwa moto kwa mujibu wa sura hii ya 7 nzima hasa 11-25.

Cc Zurri
 
Swali zuri la Msingi!

Ngoja nilifafanue zaidi kwa waumini wenzangu

Ni hivi,Kwanini Kila dini iliyopo Sasa na iliyowahi kuwepo ilianza katika Zama fulani,kipindi fulani,na Eneo fulani,lenye Watu wa tamaduni fulani
(ukristo-Israel-Wayahudi-kipindi fulani)
(Uislam-Arabuni-waraab-kipindi fulani-Mohammad

Na manabii wa dini hio (coincidentally?) wakawa ni wazawa wa Jamii hio

Na pia mafundisho ya dini hio,yakabeba baadhi ya tamaduni za Eneo hilo

Halafu baadae ikaanza kusambaa kwa injiri wa wengine Jihadi(Kuua kwa jina la Mungu) kutufikia kina sie.....

Je waliopata kuwepo kabla ya hizo dini kuanza watahukumiwa vipi na kwa sheria ipi?

Na kama Kuna sheria maalum za kuwahukumu kulingana na matendo yao kwanini Sasa kuwe na dini ilihali Kuna njia ya kuhukumu Watu kulingana na Zama na matendo yao?

Na SWALI KUU ZAIDI
Ni vipi Mungu,Mjuzi wa yote asiwe shindwa na lolote ashindwe kuuanzisha dini ambayo ingeanzaa kwa wakati mmoja katika Kila Jamii Duniani kote

Na Kila Jamii iwe na nabii wake ambaye mahubiri yake Ni Sawa kabisa na wenzake wa Jamii nyingine

Dunia yote ingekua na dini moja ya haki isio na Shaka ndani yake

Sasa kwanini dini yenye sifa hii haipo?

Ama MUNGU hayupo au ni Mjinga

Kwa tafsiri ya Mungu,hawezi kuwa Mjinga Hivyo Basi hitimisho Ni ama MUNGU hayupo au Dini zote sio sahihi

Unganiisha hii comment na Uzi wako .....
 
Nakataa kauli yako ya uongo ya kusema ya kuwa suala la kutokutii kwa Ibilisi ndio kumezaa jambo la moto.

Soma hapa katika surat Insaan aya ya 1-2. Anasema Allah aliye juu :

1. Hakika kilimpitia binaadamu kipindi katika zama ambacho kwamba hakuwa kitu kinacho tajwa.
2. Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru. (al Insaan : 1 - 2 ).
 
Swali zuri la Msingi!

Ngoja nilifafanue zaidi kwa waumini wenzangu

Ni hivi,Kwanini Kila dini iliyopo Sasa na iliyowahi kuwepo ilianza katika Zama fulani,kipindi fulani,na Eneo fulani,lenye Watu wa tamaduni fulani
(ukristo-Israel-Wayahudi-kipindi fulani)
(Uislam-Arabuni-waraab-kipindi fulani-Mohammad

Na manabii wa dini hio (coincidentally?) wakawa ni wazawa wa Jamii hio

Na pia mafundisho ya dini hio,yakabeba baadhi ya tamaduni za Eneo hilo

Halafu baadae ikaanza kusambaa kwa injiri wa wengine Jihadi(Kuua kwa jina la Mungu) kutufikia kina sie.....

Je waliopata kuwepo kabla ya hizo dini kuanza watahukumiwa vipi na kwa sheria ipi?

Na kama Kuna sheria maalum za kuwahukumu kulingana na matendo yao kwanini Sasa kuwe na dini ilihali Kuna njia ya kuhukumu Watu kulingana na Zama na matendo yao?

Na SWALI KUU ZAIDI
Ni vipi Mungu,Mjuzi wa yote asiwe shindwa na lolote ashindwe kuuanzisha dini ambayo ingeanzaa kwa wakati mmoja katika Kila Jamii Duniani kote

Na Kila Jamii iwe na nabii wake ambaye mahubiri yake Ni Sawa kabisa na wenzake wa Jamii nyingine

Dunia yote ingekua na dini moja ya haki isio na Shaka ndani yake

Sasa kwanini dini yenye sifa hii haipo?

Ama MUNGU hayupo au ni Mjinga

Kwa tafsiri ya Mungu,hawezi kuwa Mjinga Hivyo Basi hitimisho Ni ama MUNGU hayupo au Dini zote sio sahihi

Unganiisha hii comment na Uzi wako .....
Uliwahi kujiuliza! kwannini watu tunatumia lugha tofauti katika kiwasiliana?au je kwanini rangi zetu zumetofautiana?.
 
Back
Top Bottom