Recent content by Allwayup

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Naomba kuuliza kuroot ndo kufanyaje na process kama inawezekana na kifaa gani kinarootiwa Cm ama tablet
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yakanusha kuzuia wenye Diploma kwenda chuo kikuu

    Aaaa wafute tu vyote wasubili watoto watakao zaliwa ndo waanze nao maana wakiisha wa diploma wataanza na form six mwenye sijui E mbili mala tatu basi tabu tupu hakuna aliye salama mwisho wa siku tutaagiza wasomi toka nje maana sisi hatuna sifa atabaki yeye tu. Mwenye sifa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Acha uisome namba kama unavyosema unakipenda chama na ulijitolea kuna mtu alikulazimisha sasa kelele za nini
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wewe unahisi wanatoka mkoa gani hawa wapendwa??

    Chato
  5. A

    JamiiForums Tanzania Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

    My boyfriend
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wiki ya tatu mpenzi wangu hataki kupokea simu zangu wala kujibu texts, nifanyaje?

    Umejalibu kumtumia salio anataka akupigie yeye
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

    Ni Tanzania pekee ambapo kiangozi anakuwa na kauli mbili mbili mfano tumekusanya bilioni 5.4 na kesho inapanda mala mbili 15.19
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kuwapatia mikopo wanafunzi wote wa Vyuo Vikuu Mwaka huu

    Kama nani hastahili ile hali kachaguliwa kujiunga higher education
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hi

    Hiii
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wanachuo vihiyo wasio na sifa walio vyuoni kuondolewa mwezi ujao

    Atuondoe abaki yeye mwenyewe sifa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kasoma PCB lakini kakataliwa diploma ya clinical officer

    Dogo ana phycs B chemist C na Bios B
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kasoma PCB lakini kakataliwa diploma ya clinical officer

    Sasa tatizo ni nn au wanataka wenye ufaulu wa kiwango cha Alama D
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kasoma PCB lakini kakataliwa diploma ya clinical officer

    Mdogo wangu mimi kasoma PCB ila katemwa kwenye selection za clinical officer kwa anayejua naomba anifahamishe wametumia vigezo gani kutomchagua asanteni
Back
Top Bottom